Top Songs By Samba Mapangala & Orchestra Virunga
Similar Songs
Credits
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Samba Mapangala
Songwriter:in
Lyrics
Kila kitu ufanyayo lazima yapitie kwa waganga
Badilisha hiyo tabia, eh
Kila kitu ufanyayo lazima yapitie kwa waganga
Badilisha hiyo tabia, eh
Pesa zako hupatia kina dada
Watafuta jina ama vipi?
Pesa zako hupatia kina dada
Watafuta jina ama vipi?
Wake za watu hutongoza imejulikana
Jihadhari utaishia shimo la tewa, ah
Wake za watu hutongoza imejulikana
Jihadhari utaishia shimo la tewa, ah
Waongea kujenga ghorofa na huna kitu, eh
Acha mdomo na maringo kaka
(Iiidhan bluumba Afrika kabisa)
Dunia tunapita, eh
Kila kitu kitabakia, ah
Binadamu ni mchanga, ah
Kitabaki milele ni milima
Dunia tunapita, eh
Kila kitu kitabakia, ah
Majivuno ni ya nini
Kitabaki milele ni milima
Warogaroga watu baba ah bure
Waumiza Waafrika wenzako kwa nini?
Madaraka wapigania kampuni sio yako
Wala yake ni ya Mzungu Baba wape
Haki zao wana matumizi pia
Dunia tunapita, eh
Kila kitu kitabakia, ah
Binadamu ni mchanga, ah
Kitabaki milele ni milima
Dunia tunapita, eh
Kila kitu kitabakia, ah
Binadamu ni mchanga, ah
Kitabaki milele ni milima
Dunia tunapita, eh
Kila kitu kitabakia, ah
Majivuno ni ya nini
Kitabaki milele ni milima
Dunia tunapita, eh
Kila kitu kitabakia, ah
Binadamu ni mchanga, ah
Kitabaki milele ni milima
Writer(s): Samba Mapangala
Lyrics powered by www.musixmatch.com