Top Songs By Rose Muhando
Credits
AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Rose Muhando
Leadgesang
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Rose Muhando
Songwriter:in
Lyrics
Shukurani zangu kwa taifa la Kenya
Viongozi wa Kenya
Na wananchi wa Kenya
Kwa kuokoa maisha yangu (Jawabu Studios)
Uhuru, baba Uhuru
We Uhuru, yabarikiwe malango yako (ukumbuke baba)
Uhuru, baba Uhuru
We Uhuru, yabarikiwe malango yako
Kenya, Kenya
Ulindwe (ulindwe) Kenya ulindwe
(Ulindwe) Milele ulindwe
Ifanikiwe mipaka yako (ufanikiwe milele lele)
Ulindwe (Kenya ulindwe)
Milele ulindwe
Ifanikiwe mipaka yako
Malango yako ulifungua
Mikononi ukanipokea
Kenya ukanihurumia
Yabarikiwe malango yako
Mikono yako ulikunjua
Ukanisaidia
Kenya ukanihurumia
Yafanikiwe malango yako
Cha kukupa sina
Mali sina
Chochote sina
Ubarikiwe malango yako
Uwezo sina
Mali sina
Nakuombea kwa Mungu Baba
Yabarikiwe malango yako
Uhuru, baba Uhuru
Rais Uhuru, yabarikiwe malango yako
Narudia Uhuru, tena Uhuru
Wewe Uhuru, ifanikiwe mipaka yako
Kenya, ulindwe Kenya
Ulindwe Kenya
Ifanikiwe mipaka yako
Uhuru, baba Uhuru
We Uhuru, yabarikiwe malango yako
Uhuru, baba Uhuru
We Uhuru, yabarikiwe malango yako
Kenya, Kenya, (ulindwe)
Ulindwe, Kenya ulindwe
Ulindwe na Mungu (milele ulindwe)
Ifanikiwe mipaka yako (ifanikiwe le le le)
Ulindwe (Kenya ulindwe) Kenya ulindwe
Milele na Mungu ulindwe (milele ulindwa)
Ifanikiwe mipaka yako
Mbingu zinene mema
Kwa ajili yako zinene mema
Kwa kenya zinene mema
Yabarikiwe malango yako
Mbingu ziseme mema
Kwa wakenya zinene mazuri
Kwa kizazi zinene mema
Wabarikiwe watoto wako
Eh Mungu ikumbuke Kenya
Ibariki Kenya
Pamoja na malango yake
Eh Mungu ibariki Kenya
Ikumbuke Kenya
Pamoja na kizazi chake
We Uhuru, baba Uhuru
Uhuru, ibarikiwe taifa lako
Uhuru, tena Uhuru
Nasema Uhuru, ubarikiwe taifa lako
Kenya, inuliwa Kenya
Barikiwa Kenya
Pamoja na watoto wako
We Kenya, nasema Kenya
Barikiwa Kenya
Pamoja na kizazi hé le le le baba
Uhuru, baba Uhuru
We Uhuru, yabarikiwe malango yako
Ukumbukwe baba (Uhuru, baba Uhuru)
We Uhuru (baba) yabarikiwe malango yako
Kenya Kenya, (ulindwe)
(Ulindwe) Kenya ulindwe
(Ulindwe na Mungu) milele ulindwe
Ifanikiwe mipaka yako
Ifanikiwe milele le le
Ulindwe (Kenya ulindwe) Kenya ulindwe
(Milele na Mungu) milele ulindwe
Ifanikiwe mipaka yako
Mungu, awe adui wa adui zako
Na mtesi wa watesi wako
Apigane kinyume nao
Mungu, awe adui wa adui zako
Na mtesi wa watesi wako
Apigane kinyume nao
Uhuru, baba Uhuru
Rais Uhuru, yabarikiwe malango yako
Kenya, leo Kenya
Milele Kenya, ifanikiwe mipaka yako
Uhuru, baba Uhuru
We Uhuru, yabarikiwe malango yako
Uhuru, baba Uhuru
We Uhuru, yabarikiwe malango yako
Kenya Kenya (ulindwe)
(Ulindwe) Kenya ulindwe
Ulindwe na Mungu (milele ulindwe)
Ifanikiwe mipaka yako (Ifanikiwe milele le le)
Ulindwe, Kenya ulindwe
Milele na Mungu (milele ulindwe)
Ifanikiwe mipaka yako
Mungu ibariki nchi ya Kenya
Bariki taifa la Kenya
Viongozi wa Kenya
Waimbaji wa Kenya
Na madaktari wa Kenya
Kenya ubarikiwe
Written by: Rose Muhando