Lyrics

Ni vyepesi kufuata nyayo za upepo
Kuliko kuukumbata aah
Kujitoa uwepo na kukupa thamani
Ambaye ulishindikana
Ilijulikana
kwa kuamini
Ungebadilika
Na naamini ulilijua
Kwa vile nilipenda ikawa sababu ya yote mi kuyavumilia
Malipo ya ule upendo
Ikawa (pigo)
Ikajutia nafsi yangu
Ukawekeza chuki kwa moyo wangu
Ikawa (pigo)
Nakujutia uwepo wako
Japo niliamini wewe ni wangu kwa kujipa imani
Changu ni changu
Dunia ya leo mapito labda
Kesho ningeipata ile thamani
Acha niende utavumilia
Utavumilia aaah
Acha niende mimi utavumilia
Moyo utakusahau
Acha niende utavumilia
wangu Utavumilia aaah
Acha niende
Utavumilia
Moyo utakusahau
Tuluuu eiii eeeh mhhhhh ahhhhhhh
Tuluuu eiii eeeh mhhhhh ahhhhhhh
Heri ya mzigo wa punda
Kuliko fundo la penzi
Halibebeki
Kwao ni sawa chipsi fungu
Isiyo na hili ingekuweza wapi
Sikujua w ngao msaliti
Ni usiri wake
Nawe mengi ulinificha
Ndo maana mie
Nikakupenda vile
Hivi sababu ilikuwa ni nini?
Ungeniambia eeeh
Mbona mengi nilitenda juu yako wee
Ukalipa vile na
Malipo ya ule upendo
Ukawa (pigo)
Ikajutia nafsi yangu
Ukawekeza chuki kwa moyo wangu
Ikawa (pigo)
Nakujutia uwepo wako
Japo niliamini wewe ni wangu kwa kujipa imani
Changu ni changu
Dunia ya leo mapito labda
Kesho ningeipata ile thamani
Acha niende utavumilia
Utavumilia aaah
Acha niende mimi utavumilia
Moyo utakusahau
Acha niende utavumilia
wangu Utavumilia aaah
Acha niende
Utavumilia
Moyo utakusahau
Ukitaka mali zangu nitakuachia
Kila kitu nitakuachia
Hata nyumba yangu wee
Ila mwisho roho yangu utatulia
Oooh mali zangu nitakuachia
Hata gari langu nitakuachia
Moyo wangu mie niachie
Acha niende utavumilia
Utavumilia aaah
Acha niende mimi utavumilia
Moyo utakusahau
Acha niende utavumilia
wangu Utavumilia aaah
Acha niende
Utavumilia
Moyo utakusahau
Written by: Baraka Adrew
instagramSharePathic_arrow_out