Credits
AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Ghafla
Künstler:in
Ded Drey
Erstes Cello
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Ghafla
Songwriter:in
Issa Shakur
Songwriter:in
Lyrics
Set Me free
Ghafla ft Mapanch bmb
Intro
Shobidobi dobi dobi doo
mmmh
nana nana nanaaa
yeaaah
Yeeah yeaaah
mmh mmmh mmh
Chorus
Kwenye raha ndo nnapokuona
Nikiwa na mkwanya ndo nnapona
Baby please set me free
Hata mi VIP (wah)
Sishangai nzi juu ya kidonda (Yeyeaah)
Nitajiumiza nikimbonda
Baby please set me free (Heyeyeeah)
Hata mi VIP (heeh)
Verse 1
Hakuna upendo umenifanya ATM here (ATM)
Sina raha niache huru ama watanifukia (hye yeeah)
Tulisema hatuachani mpaka kifo (Oyeeah)
Naona changu umekipanga kiwe simple (Oyeeeah)
Unitese mpaka nijute nijinyonge pia (yeah)
Nigide sumu nijitupe nijitose dear
Najiuliza na sipati majibu
Ni mapenzi au bahati nasibu (uuh)
Niache huru usisogee karibu
Naona akili yangu unaiharibu (yhe yhe)
Hata muhuni anaumia baby please come on (come oo)
Huoni chozi ila ndani inaniumiza roho
Nipo nawe ni kama nipo sipo (nipo sipo)
Cheko usoni afadhali ndani mzito (yhei yhei)
Huoni unayofanya unachowaza mshiko (hyea)
Huwazi ninaumia nipe mapumziko,,,na mimi
Chorus
Kwenye raha ndo nnapokuona
Nikiwa na mkwanya ndo nnapona
Baby please set me free
Hata mi VIP
Sishangai nzi juu ya kidonda
Nitajiumiza nikimbonda
Baby please set me free
Hata mi VIP
Verse
Vunja ngalawa tugawane mbao tu move on
hayafanyi kazi haya mapenzi ni war zone
umebadilika haukuwa hivyo huko mwanzoni
Nikiuliza nini tatizo ni ka hunioni
Sijamaliza kuongea usha giii (heeh)
Hujui mbele yako aliyesimama ni G (anhaa)
Napenda kwa dhati na nina maamuzi ya speed
Na stress zikizidi najipooza na weed
Ni kama unanipeleka unanirudisha ukipenda
Toka january nakula mzigo december
Hujali niko wap unanitingishia bega
Au ndo waarabu wa pwani wanajuana kwa vilemba
Kama hutaki kuwa nami basi please set me free (beibe)
Kosa gani nimefanya uniadhibu mamy
Kukupenda ndo sababu ya kuni treat namna hii
Sio kwa ubaya ila siwezi inatosha my dear,,,Now i go
Chorus
Kwenye raha ndo nnapokuona (anhaaa)
Nikiwa na mkwanya ndo nnapona (anhaa haa)
Baby please set me free
Hata mi VIP (VIP iiii)
Sishangai nzi juu ya kidonda (anhaaa)
Nitajiumiza nikimbonda (no no)
Baby please set me free
Hata mi VIP (VIP yeyeeh)
Bridge
Chorus
Kwenye raha ndo nnapokuona
Nikiwa na mkwanya ndo nnapona
Baby please set me free
Hata mi VIP
Sishangai nzi juu ya kidonda
Nitajiumiza nikimbonda
Baby please set me free
Hata mi VIP
Written by: GHAFLA BIN VUU, Issa Shakur