Credits
AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Wenda Wazimu
Künstler:in
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Leon Mulama Shitambasi
Songwriter:in
Robert Lyomu Telewa
Songwriter:in
Boaz Isoe
Songwriter:in
Enrico Telewa
Songwriter:in
PRODUKTION UND TECHNIK
David Bell
Produzent:in
Lyrics
Nina kijamo kwa hip ye hushinda na mask alipasuliwa lip
Talk zangu ganji me hunipati kani cheap
Nasunda cosmos 12 niende overseas
Macho jamo haifanyi fiti ninge pori ndio ina see
Chop chop chipidi chop
Sneaky link anataka weaky dismantfull
Hapa si race si ndio huwakimbiza
Biz tukiskia ni mbichi si ndio huwakimbiza
Napenda waki cooperate bila kuchachisha
Zikisunda we jua kuna fala shabakishwa juu hii
Chop chop chipidi chop
Chop chop chipidi chop
Chop chop saa hadi wana discuss
Kakibend dunga hadi marasa zina disperse
Niko peaky ka ni pongi ka si rachu doggy
Mengo ka ni mwere siwezi kuja hapo na mbogi
Daily apigwe combi akutane na bombiz
Si ndio tunapunguza umalaya Nairobi
Niendelee eeh juu ye hupendaga mambuyu
Nyonye ikapwe ngumu sa anadhani ki mabuyu
Ka ni mali safi teka hata siogi
Shawty pengting na ye hukuanga tu ki odi
Naichap[a tena na tena ka ni godi
Ye huchapwa na mbogi saa zingine shawty gondi
Chop chop chipidi chop
Sneaky link anataka weaky dismantfull
Hapa si race si ndio huwakimbiza
Biz tukiskia ni mbichi si ndio huwakimbiza
Napenda waki cooperate bila kuchachisha
Zikisunda we jua kuna fala shabakishwa juu hii
Chop chop chipidi chop
Chop chop chipidi chop
Ai weakly sai we got the world on leash
Big dogs we nah mess with cheap talk
Ngulu si huforce raging like trav everyday we making ops
Na hata haezi kuburn hell born to the top
Angelic na the team hyo ndio maana tuna sin
Anachapiwa from within baby girl naezakudim
Ganji hudhani chizi anatoka sinalowa
Mexicano mamacita uko hapo nje kwa door
Vako za thanos tunaza hizi mitaa
Rwanda na disciples bila judas in a van
Real man a shooter juu ya meli na bidhaa
Pigwa hadi anashtuka nimekuja na plain black
Chop chop chipidi chop
Sneaky link anataka weaky dismantfull
Hapa si race si ndio huwakimbiza
Biz tukiskia ni mbichi si ndio huwakimbiza
Napenda waki cooperate bila kuchachisha
Zikisunda we jua kuna fala shabakishwa juu hii
Chop chop chipidi chop
Chop chop chipidi chop
Chaguo ni lako, ulale hosi ama ulale mteja
Vako za wochi na pori za mwenye keja
Ni kabaridi nikitoa na wao huhepa
Chap chap chipidi kutu ndio ilifanya akafuata syphilis
Kama sirowe unaezapata KTB
Cooperate uone sai tukienda KCB
Bora ina maziwa inafuatwa
Aliekewa straight na morio bado anahata
Usiniite fam joh kama hujatoka London
Rahisi kwetu kama uko na asset unaimanage
Morio hacheki fiti ju meno tulizidamage
Na tunaifanya again
Chop chop chipidi chop
Sneaky link anataka weaky dismantfull
Hapa si race si ndio huwakimbiza
Biz tukiskia ni mbichi si ndio huwakimbiza
Napenda waki cooperate bila kuchachisha
Zikisunda we jua kuna fala shabakishwa juu hii
Chop chop chipidi chop
Chop chop chipidi chop
Writer(s): Boaz Isoe, Enrico Telewa, Leon Mulama Shitambasi, Robert Lyomu Telewa
Lyrics powered by www.musixmatch.com