Lyrics

Pace ni ya pace ni ya pace ni ya mzee beko Najiskia ka skia ka najski aka echo Ju nakeep it zero distance, zero distance Ju nakeep it zero distance, zero distance Venye ako peaky tunafunga blinders Dem ni macho chongo number ya eyeliner Back to the bone na mfupa ya christmass Mechi siku tatu utadhani ni easter Ah uko na high momentum Venye unashake maintain momentum Niko na low momentum Venye unawhine inaniongeza momentum Uko na rolex na ukona vako za ki casio Punda milia ju ana megan the stallion Niko na anaconda sleek python Alehandro 2.2 ni sex icon Pace ni ya pace ni ya pace ni ya mzee beko Najiskia ka skia ka najski aka echo Ju nakeep it zero distance, zero distance Ju nakeep it zero distance, zero distance Aaah Nairobi ni ya ma elite Picha tunachoma tuki edit Venye nawabeba nikama nimekunywa cretin na Mafala wamemblein ka mandazi ya canteen Manzi wako me humuita my gee Tulijuana tinder mlijuana ig Akiwa kwako anadoo IT Akiwa kwangu anadoo stingo za tai chi Bossy asmile anatoa panty Na watoi wake sai wanamuita aunty Unakula L akidunga my tee Story zako anaziruka ni kaa anacheza katii Pace ni ya pace ni ya pace ni ya mzee beko Najiskia ka skia ka najski aka echo Ju nakeep it zero distance, zero distance Ju nakeep it zero distance, zero distance Ndio ukeep it 100 uza mia mia Ndio nikeep it 100 nauza moja mia Na kwa saa nauza moja mara mia Nikona client mara moja hubuy mia Me najua wiz we unajua mia Uko desparados na magwendos size mia Me niko habanos na maoptions ka mia Niko chwani chwani nika nadai change ya mia Hadi subira anavuta fegi Me kando yake nikivutia mapedi Story za jaba abunuwasi na hemedi Ukitry kutucross tunakufunga na mahedi Nairobi njeve tunafunika na majegi Niko na foreign na mpoa kienyeji Hatuongeleshani hadi ifike masaa ya mechi Tuko na beef halafu ref tuliwachia bedsheet Pace ni ya pace ni ya pace ni ya mzee beko Najiskia ka skia ka najski aka echo Ju nakeep it zero distance, zero distance Ju nakeep it zero distance zero distance
Writer(s): Nelson Liena, Elly Omondi, David Omondi Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out