Top Songs By Ali Mukhwana
Similar Songs
Credits
AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Ali Mukhwana
Leadgesang
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Ali Mukhwana
Songwriter:in
PRODUKTION UND TECHNIK
Ali Mukhwana
Produzent:in
Allan Mayindo
Produzent:in
Lyrics
[Verse 1]
Ni wa neema Mungu Baba ni wa neema kubwa
Ni wa neema Mungu Baba, ni wa neema kubwa
Kama sio nguvu zako Baba Ali mimi ningekua wapi Baba nakupenda ah
Ni wa neema Mungu Baba, ni wa neema kubwa
Kanitoa mavumbini Baba eh
Kaniita kwa jina lako
Mwokozi wangu oh ooh, ooh
Ni wa neema Mungu Baba, ni wa neema kubwa
Angalia dunia mbingu yote uliumba kwa jina lako Baba nakupenda ah
Ni wa neema Mungu Baba, ni wa neema kubwa
Ni wa neeema aah, ni wa, ni wa neeema ooh kubwa eeh
Ni wa neema Mungu Baba, ni wa neema kubwa
[Verse 2]
Usiku na mchana tulipata chakula cha kila siku ndio maana tunasema sisi
Ni wa neema Mungu Baba, ni wa neema kubwa
Baba nani kama wewe unashughulikia wajane na mayatima, wanyonge na wadhaifu
Ni wa neema Mungu Baba, ni wa neema kubwa
[Verse 3]
Yesu eeh haangalii kabila, haangalii kabila mama ee
Ni wa neema Mungu Baba, ni wa neema kubwa
Nani mwanaume kama Yesu, nani mwenye nguvu kama zako Baba eeh
Ni wa neema Mungu Baba, ni wa neema kubwa
Yeye ni simba wa Yuda, yeye ni kimbilio la maisha yetu, hakuna mwanaume kama yeye
Ni wa neema Mungu Baba, ni wa neema kubwa
Wacha kulilia majirani wako mama eeh, mlilie huyu Yesu mwenye uwezo
Ni wa neema Mungu Baba, ni wa neema kubwa
Akikubariki mama nani wakupinga, akikuongoza njia eeh, ooh mama eeh
Ni wa neema Mungu Baba, ni wa neema kubwa
[Verse 4]
Ni wa neema, ni wa nee, ni wa neema aah kubwa
Ni wa neema Mungu Baba, ni wa neema kubwa
Ah ni wa neema, ni waa, ni wa neema aah kubwa
Ni wa neema Mungu Baba, ni wa neema kubwa
Written by: Ali Mukhwana