Credits

AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Squirrel
Squirrel
Leadgesang
Kaspa_K
Kaspa_K
Künstler:in
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Kaspa_K
Kaspa_K
Texte
PRODUKTION UND TECHNIK
14 tugi
Produzent:in

Lyrics

Bang it over mi napenda ukibend over
Toto fine sweet ntakabeba na kirover
Na aki wine anajua take it over
Kusuka suka kwanza adi adhani ni Passover
Mi nimedata msupa nimepata
Niko Langata na ni nyama nina ngata
Mi naskia poa kumechacha
Na ni for real ju ni mimi anataka
She's a fashion killer she de speak latin-a
Niko Paris mi nadai kuririma
Mi si Riggy G nitaguza murima
Niko kwa gate ninadai kukulima
She's a fashion killer she de speak latin-a
Niko Paris mi nadai kuririma
Mi si Riggy G nitaguza murima
Niko kwa gate ninadai kukulima
Ebu nishike kidogo nifurahie ooh my
Tena mi sisemi uongo kwako nimebahatika
Ebu nishike kidogo nifurahie ooh my
Tena mi sisemi uongo kwako nimebahatika
Ooh babe
Mtoto Mali safi akianani
Zaidi unanipa raha na burudani
Nawatangazia oooh no hata kipi kifanyike yeye ndio my dear
Sina maradhi ya moyo Toka nikupate mie
Nimetulia
Nikikuambia nakupenda sifanyi utani
We ndio superwoman mi ndo baby daddy
Moyo wangu ushauteka hata sipingani
Wee ndio number moja nishaweka wazi
Ebu nishike kidogo nifurahie ooh my
Tena mi sisemi uongo kwako nimebahatika
(my baby boo we ndio vanilla sweet vanilla in
My papito wangu hodari hodari)
Ebu nishike kidogo nifurahie ooh my
Tena mi sisemi uongo kwako nimebahatika
Written by: Kaspa_K
instagramSharePathic_arrow_out