Lyrics

Wamemchokoza Bear
Me si steal nikikosa ninakopa
Time ikifika nita spin na machopper
Life ukisleki unapitwa mara moja
At times usiketi weh simama kama soldier
Pressure zi zi enda na your own pace
Unaeza kuwa busy na bado usi make
Imagine tuko naughty na bado tuna change
Dhiki days tusha complete tuko new page
Eh
Cheki chokosh amevaa suti
Ana roll na crew haku fit in
Kama sio kali basi sisi
Kwa miradi zote tuna chip in
Sisi tuna learn kwa life hakuna mistake
Failure na risk hazini scare
Life is a risk kwa hivyo lazima ni stake
Niki shinda bet wanani stare
Time tu time ndio inaleta difference
Time ndio ina separate jana leo
Time tu time ina expose pretence
Time ndio iko between weh na dreams zako
Time
Life inadai time
Ati time time time time time
Sucess inaneed time
Salaam habari za sahi
Kuna kitu mnajua na hamtuambii
Situmii mirungi na bado ninachana
Masaa kidogo usiku ugeuke mchana
Time more divine huitagwa moment
Time utani like just drop a comment
Kwenye beat na mic uko na proponent
Number one spot weh ndio the opponent
Nliwa beat last time na bado mimi niko
Niko on the lead kama kifuniko
Kwenye vibe na waras uko high time
Si ma acrobats huku summertime
Ma time time nina masaa kibao
Kwenye meeting ninakaa kikao
Time ya studio nina drop kibao
Time sijasota nitatoa ki thao
Time tu time ndio inaleta difference
Time ndio ina separate jana leo
Time tu time ina expose pretence
Time ndio iko between weh na dreams zako
Time
Life inadai time
Ati time time time time time
Sucess inaneed time
Na time ikifika usiwache waliokuwa on your side
Journey ikisita usi lose eyes on the prize
Mungu anakuona atakuonyesha ka light
Light light
Juu ya city clock niko right on time
Na mistari zangu ziko next in line
This is my time like i own rolex
Ka uko na haja si ukam na toilex
Time tu time ndio inaleta difference
Time ndio ina separate jana leo
Time tu time ina expose pretence
Time ndio iko between weh na dreams zako
Time
Life inadai time
Ati time time time time time
Sucess inaneed time
Written by: Austine Adhu, Wilson Oebah
instagramSharePathic_arrow_out