Similar Songs
Credits
AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Kusah
Stimme und Gesang
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
SALMIN ISMAIL HOZA
Songwriter:in
PRODUKTION UND TECHNIK
Bonga De Alpha
Produzent:in
Lyrics
Binadamu siwawezi
Bora nibaki na mwenyezi
Kuna jua kuna mwezi
Nakupangua hatuwezi
Ahsante baba kwa mkate na bikombe
Kilichobaki acha mimi nikuombe
Aah binadmu metuumba na unyonge
Nikikosea naomba mungu unione, tena
Na siog opi mtu
Namuogopa mungu tu
Na sijali lolote
Namuogopa mungu tu
Na siog opi mtu
Namuogopa mungu tu
Na sijali lolote
Namuogopa mungu tu
Hizi shida zangu, zinanitosha
Sitaki matatizo, Sitaki matatizo
Hizi shida zangu, zinanitosha
Sitaki matatizo, Sitaki matatizo
Walishapiga na story niko hoi
Siponi tena
Wakaapa sitoboi sitoboi sitoboi tena
Si walisema hayatopita
Leo mungu kawanyamazisha
Wakapanga mpaka vita
Katikati yao nikapita
Na siogopi mtu
Namuogopa mungu tu
Na sijali lolote
Namuogopa mungu tu
Nasiogopi mtu
Namuogopa mungu tu
Na sijali lolote
Namuogopa mungu tu
Hizi shida zangu, zinanitosha
Sitaki matatizo, Sitaki matatizo
Hizi shida zangu, zinanitosha
Sitaki matatizo, Sitaki matatizo
Hizi shida zangu, zinanitosha
Sitaki matatizo, Sitaki matatizo
Hizi shida zangu, zinanitosha
Sitaki matatizo
Writer(s): Salmin Ismail Hoza
Lyrics powered by www.musixmatch.com