Top Songs By Clamer
Credits
AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Clamer
Künstler:in
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Clamer
Songwriter:in
PRODUKTION UND TECHNIK
Clamer
Produzent:in
Lyrics
Sio kila pesa ni ya kusave thao moja uwezi jenga nayo
Sio kila pesa ni ya kusave miatano uwezi shika dinga
Me siezi save sahii (we lewa)
Me siezi save sahii (we kunywa)
Kushman
Hakuna meso napenda kaa mpesa nikiomoko kitu
Naona mbele ni bar esa tomorrow is not promised
Chafua meza piga dry uta aribu taste ya makali na chaser
Ile kutu ukuja na pombe unaeza kula mama wa bhajia
Ata nikue maji aje siwezi sahau njia sina shida na wewe
Lakini kua na tabia kukata maji na kutapika ndio unikatsia
Sio kila pesa ni ya kusave nasema sio kila pesa ni ya kusave
Me ni Kama waba naenda wave nisho
Kesho kesho kutwa ni wapi tuna rave
Me siezi save sahii (we lewa
Me siezi save sahii (we kula
Pesa kiasi umeanza kujifanya banker nani
Chwani ndio unadhani itakutoa kwa hizi streets
Sisemi usichange but mbona usijibambe na auko sure
Uta ambiwa congrats b4 rip yo si kila pesa ni ya kusave
Zinginge ni za gode makali na mangem kuna
Reasons Mungu alitengeneza weekend si
Kila siku kujinyima sazingine ata jipee alafu ati
Unifuate unataka nikumochoe ufiche zako
Na zangu unataka uzi enjoy we nikama umechizi
Nikama already uko machingri aki amungu siezi kupatia ata shilingi
Me siezi save sahii(we lewa
Me siezi save sahii (we kula
Ninunue shamba ama tu nitafute wasichana
Niko na do si nilipie kachama ama tu nika shike
Shike haga ganji ni mob naeza fanya kile nadai
Nipeleke port ndio nika buy ndae pesa ikibaki
Na adisia mangwai walai na zikishuka nakumbuka
Sina pake siezi save leo me nita save kesho
Acha tu niende vacation pale weston sikatiani
Nachezq tu na ma escort kuskia poa ndio main intention
Writer(s): Harry Otieno, Fidel Osano, Amos Clamer Namor
Lyrics powered by www.musixmatch.com