Lyrics
Hello everybody
My name is Nyokabi Macharia and welcome to Nyokabi Car Radio
And my sermon for you today is
Be you, do you
Na kama hawataweza kukupenda, basi sakata rhumba, achilia pressure
Just like the Kings and Queens of fashion, vibes and vokals…Wanavokali
Skiza
Tumecome kuwachapia story
Ya who?
Story ya watu sita wangori
Waaauuu
Wenye sauti za kumtoa nyoka pangoni
Fashion Killers
Vaibu pia hawakosi
Waliamua
Kufanya hii mziki
Wakajikakamua
Hata ka haina riziki
Na wengi wenu walithani si machizi
Sasa ngoma zetu zikichezwa, hakukalilki
Hakukaliki
Kila mtu juu ya kiti
Wamegeuza adui wao kuwa mashabiki
Wanajiita nani hao
Wanavokali
Wanathani nani hao
Sisi ni wale wale wakali
Aaah, mnaringa sasa
Aa-aa, bei ndio imepanda
Itabidi mumekubali tukijigamba
Wa-na-vo-ka-li
huwanga wakali, kila wakati
Ha –Ha
I-ta-bi-di tu
mumekubali Wanavokali
Ha –Ha
Written by: Mark Mbari Gathariki