Top Songs By Marioo
Credits
AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Marioo
Künstler:in
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Marioo
Songwriter:in
PRODUKTION UND TECHNIK
Laizer Classic
Mastering-Ingenieur:in
S2kzy
Produzent:in
Lyrics
Mh (sexy-sex-sex-sex, she's so sexy-sex-sex-sex, sexy-sex-sex-sex)
(S2kizzy baby)
Unanichekesha (he-he-he-hee)
Mmh (ho-ho-ho-hoo)
Baad (he-he-he-hee)
Aloo (ho-ho-ho-hoo)
Oya nani ana namba, eh, ya Coy Mzungu?
Eh, ampigie kuna mtu ana kipaji
Cha kuchekesha aende akachekeshe
Mi' mtu mzima ananitishia nyau
Eti kosa si kosa anasema tuachane
Mi' nikamuacha
Mi' nisha move on, ndo ananigandaganda
Kala ndizi kasahau alinitupia maganda
Mi' mtoto wa mungu, ye' anatumia waganga
Kabla hajavuka mto akatukana mamba
Si ulisema sipati bebe
Huyu nani?
Si ulisema sipati mtoto mkali
Huyu vipi?
Unanichekesha (he-he-he-hee)
Haloo (ho-ho-ho-hoo)
(He-he-he-hee)
Haloo (ho-ho-ho-hoo)
Unanichekesha (he-he-he-hee) (sexy-sex-sex-sex)
Ho-ho-ho-hoo (sexy-sex-sex-sex)
He-he-he-hee
Unanichekesha (ho-ho-ho-hoo)
Shi, ukipiga simu mi siokoti, mi siokoti Ukituma massage nafungua nauchubua
(Ukipiga simu mi siokoti, mi siokoti)
(Ukituma massage nafungua nauchubua)
Usipige simu mi siokoti, mi siokoti
Nipo na mchumba, chumbani unasumbua
(Usipige simu mi siokoti, mi siokoti)
(Nipo na mchumba chumbani unasumbua)
Mi' nisha move on, ndo ananigandaganda
Kala ndizi kasahau alinitupia maganda
Mi' mtoto wa mungu, ye' anatumia waganga
Kabla hajavuka mto akatukana mamba
Si ulisema sipati bebe
Huyu nani?
Si ulisema sipati mtoto mkali
Huyu vipi?
Unanichekesha (he-he-he-hee)
Haloo (ho-ho-ho-hoo)
(He-he-he-hee)
Haloo (ho-ho-ho-hoo)
Unanichekesha (he-he-he-hee) (sexy-sex-sex-sex)
Ho-ho-ho-hoo (sexy-sex-sex-sex)
He-he-he-hee (sexy-sex-sex-sex)
Unanichekesha (ho-ho-ho-hoo)
(Kamix Lizer)
Lyrics powered by www.musixmatch.com