Music Video

Featured In

Credits

AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Joefes
Joefes
Künstler:in
Fathermoh
Fathermoh
Künstler:in
Exray Taniua
Exray Taniua
Künstler:in
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Joseph Nyamweya
Joseph Nyamweya
Songwriter:in
Moses Otieno
Moses Otieno
Songwriter:in
Tony Kinyanjui
Tony Kinyanjui
Songwriter:in
PRODUKTION UND TECHNIK
Eyoh Clamer
Eyoh Clamer
Produzent:in

Lyrics

Anasema ako tipsy anachachisha Ameshika boti kiuno anazungusha Ako tipsy anaitisha Ameshika goti tete anazirusha Ako tipsy anachachisha Ameshika boti kiuno anazungusha Ako tipsy anaitisha Ameshika goti tete anazirusha Whine again whine again pewa toti moja Godha whine again Whine again whine again pewa toti moja Godha whine again Korobosta shola zimeriet location tuko roasters Clamor juu ya beat ukinifeature nakuosha Ka denge ni peng kando yangu ni makosha Nikiita ikiring anapick haezi kosa Busy body eeh physically eeh Niko na viti kuja uzikalie Ongeza rorie na ka uko kiti Nije niikalie Anasema ako tipsy anachachisha Ameshika boti kiuno anazungusha Ako tipsy anaitisha Ameshika goti tete anazirusha Ako tipsy anachachisha Ameshika boti kiuno anazungusha Ako tipsy anaitisha Ameshika goti tete anazirusha Unaringa na hauna haga ya vera sidika Mi ni gen z kwangu mumama ndo wangu rika Nakupea shots huko chini mi nasinyika Unatetema tetema terengetika Juu ya chora saba saba tuandamane Kwa Haga tusifanane sura ukae poa Simple girl zii nadai barbie Ati unanyesha mi nasaka dem Dubai Leta lolote na chochote wote si tubuy Nadai gazibo ye akiwa na kicho Nazama tu hivo juu napenda Shiko Ko ko sio Shiro mashiro sio Shiro Joh napendaga raw Anasema ako tipsy anachachisha Ameshika boti kiuno anazungusha Ako tipsy anaitisha Ameshika goti tete anazirusha Ako tipsy anachachisha Ameshika boti kiuno anazungusha Ako tipsy anaitisha Ameshika goti tete anazirusha Come verify this style ni za maisaa Level of education naeza kuambia maisaa Copy this copy that alafu niko na idha Mimi nyege ikiniwasha naenda kwa neighbor Anataka zote zote hataki makali na chase Lete mzinga zote zote hadi zingine anaguess Zingine na mabei zingine ameshika na huku base Saa zingine ana bae Saa zingine hukunywa mpaka madem Leta ku bora Ameiva naeza kula Leta spoon hapa nikuchapa mpaka ilale Later noon hadi akitoka anasema Unaona mi nitado? Anasema ako tipsy anachachisha Ameshika boti kiuno anazungusha Ako tipsy anaitisha Ameshika goti tete anazirusha Ako tipsy anachachisha Ameshika boti kiuno anazungusha Ako tipsy anaitisha Ameshika goti tete anazirusha Whine again whine again pewa toti moja Whine again whine again pewa toti moja Godha whine again
Writer(s): Joseph Nyamweya, Moses Otieno, Tony Kinyanjui Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out