Top Songs By HOOD BOYZ
Credits
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
MANA VEVO
Songwriter:in
Papa Nyosto
Songwriter:in
FAME STANO
Songwriter:in
PRODUKTION UND TECHNIK
Dshuffle
Produzent:in
Lyrics
Huyu naye nilimtaka ah
Kamsaka ahh
Kampata kanikataa
Sai ananitaka ahh
Ananisaka ahh
Akinipata mi ntamkataa
Huyu naye nilimtaka ah
Kamsaka ahh
Kampata kanikataa
Sai ananitaka ahh
Ananisaka ahh
Akinipata mi ntamkataa
Huyu naye ni mpoa
Kejani ako indoors
Anapenda mabuda wanaikonora ka ni mwiko
Lakini juu ni gwash unahitaji kondiko
Inabidi unatwist unaspin kaa kijiko
Juu haka nkapata, nitaichapa na finyo
Alinikataa lazma tulale huko indoors
Ntaichapa na finyo
Ntaichapa na fi-
Alilia hadai simp akadai
Mi ni pimp
Anadai msee anawhip
Anadai msee ana jeep
Anadai msee ana ganji
Msee anaeza mkeep
Akanionyesha mi ni fala design sina shit
Alikuwa ananivunjia, sahii ananikujia
Anadai nambamba, anaeza nivulia
Namwonyesha bitch tulia
Si ulikuwa unaniringia
Ananishow si kupenda
Nlidhani utavumilia ah
Huyu naye nilimtaka ah
Nikamsaka ah
Nikampata akanikataa
Sahii ananitaka ah
Ananisaka ah
Akinipata mi namakataa
Huyu naye nilimtaka ah
Nikamsaka ah
Nikampata akanikataa
Sahii ananitaka ah
Ananisaka ah
Akinipata mi namkataa
Namtaka namkatia sadaka
Sunday ni birika na monday ni mala
Hapa kiasi ganji haitoshi
Tunakuruka tunakuacha lonely
Nilikutekanga giz, alaa
We ndo nilikupata na nani, balaa
Nilikutanga giz, alaa
We ndo nilikupata na nani, balaa
Alinikataa sahii ananisaka
Ananisaka kiwai namkataa
Akinipata na mi namwasha
Every minute inapass washa zote
Nilimkataa sahii anacheza sana
Anaroll akishikwa shikwa bana
Ching ching mleches zote anang'am
Verified check anajifanyanga ngwash
Huyu naye nilimtaka ah
Kamsaka ahh
Kampata
Kanikataa sai ananitaka ahh
Ananisaka ah
Akinipata mi namkataa
Huyu naye nilimtaka ah
Kamsaka ahh
Kampata
Kanikataa sai ananitaka ahh
Ananisaka ahh
Akinipata mi ntamkataa
Lyrics powered by www.musixmatch.com