Featured In

Credits

KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Luck Jackson Mumbere
Luck Jackson Mumbere
Songwriter:in
Daktari Iselweri
Daktari Iselweri
Songwriter:in

Lyrics

Ni angaliye eh
Uni sikie eh
Jina langu ASHNA LWERI international lady
Niko kama mudogo kwa kweli sija kataa
Kwenye kazi zangu sitaki utata
Naji amini
Naji samini
Tena na jikubali
Naweza kuwa mukali
Naji amini
Naji samini
Tena na jikubali
Mimi ni futur
Sitaki maswali
Sina shida nao
Wanao nitafuta
Mimi naji jua mimi niko super
Sina shida nao
Wanao nitafuta
Mimi naji jua mimi nina power
Niko buzz na kazi zangu
Kuna ndoto na ifatiliya uh
Naipenda maisha yangu uh
Nazi amini kazi zangu uh
Ni angaliye
Uni sikie
Jina langu ASHNA LWERI international lady
Ni angaliye
Uni sikiye najua samahani yangu
Kuliko kila mtu
eh eh eh super star
eh eh eh super star
eh eh eh super star
eh eh eh super star
Sina shida nao
Wanao nitafuta
Mimi naji jua mimi niko super
Sina shida nao
Wanao nitafuta
Mimi naji jua mimi nina power
Sina shida nao
Wanao nitafuta
Mimi naji jua mimi niko super
Sina shida nao
Wanao nitafuta
Mimi naji jua mimi nina power
Written by: Daktari Iselweri, Luck Jackson Mumbere
instagramSharePathic_arrow_out