Similar Songs
Credits
AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Jay Melody
Künstler:in
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Sharif Saidi Juma
Komponist:in
PRODUKTION UND TECHNIK
Adam Amiry Maingwa
Produzent:in
Lyrics
[Verse 1]
Ajabu penzi limeshaota mbawa
Kama siko sawa hili penzi ndio dawa
[Verse 2]
I want more time with you
Together in the shower
Tunywe na kahawa
Tukule bila kunawa
[Verse 3]
Sikujua
Maana ya mapenzi
Umenifundisha kuenzi
Raha kuzifaidii
[Verse 4]
Naah umeutua moyo umeutua
Napata baridi kabisa napoa
Kwenye hii sayari hakunaga jua
Ni mapenzi yako matamu kitumbua
Mwenzako mimi
[Chorus]
Hata sielewi, hata sielewi
Hata sielewi
Navyoendeshwa na penzi lako
Hata sielewi, hata sielewi
Hata sielewi
Navyoendeshwa na penzi lako
[Verse 5]
Aah napenda jinsi unashuka mlima
Naah na tena vile unakata sitima
Nachoka mazima
Basi nipe nyama na sima
Aah tetema ruksa kuringa umepima
[Verse 6]
Aah don't leave me lonely
Lonely mwenzio
Nnalakusema tega sikio
Nikikuona wewe moyo unaenda mbio
Basi mechi ya jana leo marudio
[Verse 7]
Naah umeutua moyo umeutua
Napata baridi kabisa napoa
Kwenye hii sayari hakunaga jua
Ni mapenzi yako, matamu kitumbua
Mwenzako mimi
[Chorus]
Hata sielewi (ooh mimi)
Hata sielewi (ooh lalaleeh)
Hata sielewi mmh
Navoendeshwa na penzi lako
[Chorus]
Hata sielewi (ooh lalaleeh)
Hata sielewi (ooh lalaleeh)
Hata sielewi aah
Navoendeshwa na huba lako
Written by: Sharif Saidi Juma