Top Songs By Angela Chibalonza
Similar Songs
Credits
AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Angela Chibalonza
Künstler:in
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Angela Chibalonza
Songwriter:in
Lyrics
nikikumbuka upendo wako kwangu
naishi kama ningekuwa na mabawa
niruke mahali ulipo eh Bwana
nipige magoti mbele zako niabudu
wewe ni mungu unanipenda jinsi nilivyo
diyo maana ninakwimbia Bwana wangu
wee ni mwema kwangu
x4
Lyrics powered by www.musixmatch.com