Lyrics

Mwalimu ni jina la heshima Kwenye jamii Jamani Mwalimu Hata Bwana Yesu alitwa Rabbi Yaani mwalimu Oh mwalimu Jina la heshima sana Mwalimu ni mtu muhimu sana Kwenye jamii Jamani mwalimu Naweza sema uti wa mgongo Kwenye jamii Jamani mwalimu Mungu awabariki sana Mwalimu popote mlipo Mpewe maisha marefu sana Mwalimu popote mlipo Aa Ee Ii Oo Uu Ulipa mana mwalimu wangu Niweze kusoma Ma Me Mi Mo Mu Ulipa mana mwalimu wangu Niweze kusoma Mwalimu Da De Di Do Du Ulipa mana mwalimu wangu Niweze kusoma Mwalimu Ubarikiwe Mwalimu Aah! Eeh! Moja, mbili, mpaka kumi Ulipa mana mwalimu wangu Nikaweza kuhesabu One Two Three Four Kwa Kiingereza Nikaweza kuhesabu Moja, mbili, mpaka kumi Ulipa mana mwalimu wangu Nikaweza kuhesabu One Two Three Four Kwa Kiingereza Nikaweza kuhesabu Wengine wamekuwa wafanya biashara Matajiri wakubwa jasho lako mwalimu Limechangia Mungu akubariki sana Mwalimu Hakuna professor Bila mwalimu Waziri Bila mwalimu Hata hao maraisi Walipita mikononi mwa mwalimu Jamani mwalimu Hakuna Doctor Bila mwalimu Generali Bila mwalimu Watu wote maarufu Walipita mikononi mwa mwalimu Jamani mwalimu Weeeeeh! Wenyeshi boda boda bila mwalimu Uzi mitumba bila mwalimu Hata hao wa machinga nyuma yao yupo mwalimu Jamani mwalimu Weeeeeh! Kila sector Mchango wa mwalimu Lazima uwepo weeh! Aa Ee Ii Oo Uu Ulipa mana mwalimu wangu Niweze kusoma Ma Me Mi Mo Mu Ulipa mana mwalimu wangu Niweze kusoma Mwalimu Popote ulipo mwalimu Mungu waakubariki sana Nimeona mchango wako Kwenye maisha yangu ya kila siku Sijui ni kupenza waki gani Mwalimu Popote ulipo mwalimu Mungu waakubariki sana Nimeona mchango wako Kwenye maisha yangu ya kila siku Sijui ni kupenza waki gani Mwalimu
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out