Credits

AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
The Pablos
The Pablos
Künstler:in
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Francis Muriu Kiniti
Francis Muriu Kiniti
Songwriter:in
Mark Muriu Warunge
Mark Muriu Warunge
Songwriter:in
John David Ogolla
John David Ogolla
Songwriter:in

Lyrics

In e Lwanda...
Sama weche tek tek manade
 In e Lwanda...
Sama weche tek tek manade
Ohingana baba iumaa...
Baba iuma yaa...yaaa
Ichanga yaaa....yaaa
Iuma yaaa....yaaa
I changa yaa..yaaa
In Emilima seche tee...tee
Ichanga ga seche tee...tee
Amekua mwaminifu jana na leo amekua mwaminifu maishani mwangu
 Amekua mwaminifu jana na leo amekua mwaminifu maishani mwangu
Mungu aki bariki hahitaji ruhusa kwa yeyote yule anabariki yule apendaye
Akibariki mungu anabariki akiinua mungu anainua akibariki mungu anabariki
Akiinua mungu mungu anainua kweli kweli
Yahweh umekua mwaminifu tangu nikijue tangu ni fahamu
Ahadi ndio naamini mipango yako salimini nimejificha kwa mwamba
Nisi aibike
Alo wabariki amenibariki
Alo wainua ameniinua
Alo wabariki amenibariki
Alo wainua ameniinua na mimi
Mungu aki bariki hahitaji ruhusa kwa yeyote yule anabariki yule apendaye
Akibariki mungu anabariki akiinua mungu anainua akibariki mungu anabariki
Akiinua mungu mungu anainua kweli kweli
Written by: Francis Muriu Kiniti, John David Ogolla, Mark Muriu Warunge
instagramSharePathic_arrow_out