Top Songs By Ambwene Mwasongwe
Credits
AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Ambwene Mwasongwe
Leadgesang
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Ambwene Mwasongwe
Songwriter:in
PRODUKTION UND TECHNIK
Ambwene Mwasongwe
Produzent:in
Lyrics
[Chorus]
Bwana, Bwana kaa nami (Kaa nami)
Kaa nami Bwana (Kaa nami)
Kaa nami Yesu (Bwana kaa nami)
Nifundishe neno lako Bwana (Kaa nami)
Nipate kukujua wewe (Kaa nami)
Kaa nami Bwana (Bwana kaa nami)
[Verse 1]
Adui zangu wamejipanga
Wanataka wanimalize wanile nyama
Nikitazama macho yao hawana utani hawa
Wamedhamiria wanimalize
Bila wewe sitaweza kupigana
Nipiganie nakuomba
[Chorus]
Baba kaa nami (Kaa nami)
Kaa nami (Kaa nami)
Nitetee (Bwana kaa nami)
Peke yangu sitaweza (Kaa nami)
Nakuomba (Kaa nami)
Nipiganie (Bwana kaa nami)
[Verse 2]
Nifungue macho Bwana ya rohoni
Nipate kuona ya gizani
Ulivyoahidi mwenyewe kulipa kisasi
Juu ya adui zangu wanaonitesa
[Verse 3]
Ukinifungua macho nitakutukuza
Nikiona matendo yako yalivyo makuu
[PreChorus]
Kama wewe (Bwana ukikaa nami)
Vita (Vitaa nitaishindaa)
Mwendo wangu nitaumaliza vyema kwa imani (Mwendo nitaumalizaa)
Haleluya (Mbinguni nitaingiaa)
[Chorus]
Wewe ni kama mama wa tai (Kaa nami)
Mimi ni kifaranga chako (Kaa nami)
Nikiwa kwenye mafunzo (Bwana kaa nami)
Nguvu zangu zikiisha
Bwana utaniokoa (Kaa nami)
Bwana utaniinua (Kaa nami)
Ewe kaa nami Bwana (Bwana)
Mnh (Kaa nami)
[Outro]
Bwana, Bwana kaa nami (Kaa nami)
Kaa nami Bwana (Kaa nami)
Kaa nami Yesu (Bwana kaa nami)
Nifundishe neno lako Bwana (Kaa nami)
Nipate kukujua wewe (Kaa nami)
Kaa nami Bwana (Bwana kaa nami)
Written by: Ambwene Mwasongwe