Lyrics

Watu normal hapa kenya imebaki ka wawili
Unaeza kosa kuamini
Ni Mimi Na Mimi
Ama labda ata si mimi
Sio Mimi
Sio mimi
Ka si Mimi
Haiwezi ati Kua ati ni nyinyi
Labda sio mimi labda sio wewe
Amini usiamini kijana we ni mwere
Labda jaba sisi hatuchani nywele
Alipass tukasahau yaliyopita si ndwele
No offense though
Niliambia ndugu zangu don tense bro
Niko keja naziliet
Watu normal ni wawili ao wengine ni marieettĺ
Niko like shiet
Ka si mimi rapper mngori basi iezi kuwa nyinyi
Ka si gode inanibamba basi inaeza kua nini
Ushatuchocha kwa madoba sa nani anaeza kuamini
Awa manambli deep down wanawish wangekua mimi
Watu normal hapa kenya imebaki ka wawili
Unaeza kosa kuamini
Ni Mimi Na Mimi
Ama labda ata si mimi
Sio Mimi
Sio mimi
Ka si Mimi
Haiwezi ati Kua ati ni nyinyi
Mkinikata mkono naeza nyonga na mguu
Niko na akili normal ni ati skruz loose
Mate mi hujazia kwa chupa natumia ka lubri
Behind nikuwe kwa bed labda unipate kwa bush
Si keg since but then but then nikiwa kwa ball sack
Nickname ni back then guess mbona
Pastor alisema siezi saidika hata nikiomba
So ilibidi nikubali as a country
Tukishikana naona ni ka tutaenda mbali
So daily niko koinange nasupport local talent
Namchapia siste I hope leo uko fiti
Nataka shot moja lakini lazima nionje ndio nilipe
Watu normal hapa kenya imebaki ka wawili
Unaeza kosa kuamini
Ni Mimi Na Mimi
Ama labda ata si mimi
Sio Mimi
Sio mimi
Ka si Mimi
Haiwezi ati Kua ati ni nyinyi
Na sio mimi na sio njeri, Ona nakudai itabidi amekiwahi
Na si maasai, na ako high, take your time ndani ya ndai
Akikuwahi unanjoti ukiwa shy, why lie eh aki nyasaye
Unamaliza adi mbele ya matime
We shine mbele ya hife, Leo styles tunachezea kwa tiles
Ati miles kuna cheki vile unaninice ukiantice unaroll tu kama dice
Kucheza chini eeh kama mice
Watu normal hapa kenya imebaki ka wawili
Unaeza kosa kuamini
Ni Mimi Na Mimi
Ama labda ata si mimi
Sio Mimi
Sio mimi
Ka si Mimi
Haiwezi ati Kua ati ni nyinyi
Written by: Brian Salaton Lemaindo
instagramSharePathic_arrow_out