Top Songs By Serikali Kuu ya Mizuka
Similar Songs
Credits
AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Serikali Kuu ya Mizuka
Künstler:in
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Ibrahim Ayoub Mandingo
Songwriter:in
Rashidi Shaban
Songwriter:in
Salmin Kigondo
Songwriter:in
Fredy Benny Mbetwa
Songwriter:in
Rashid LunyalileRashid
Songwriter:in
Awadhi chami
Songwriter:in
PRODUKTION UND TECHNIK
Ammy Waves
Produzent:in
Lyrics
Man of the year dress code
Never stuck on my way niko na escort
Ni kiwingu naleta giza na ni mchana mjini
Bebe mpya hakuna sie wenzako tunaziimport
Najiona mbali sana yes bana
Ukiona kama wanakukazia watembezee spana
Kata keki keki kubwa jichagulie upana
Maadui zangu hawashindani wanapambana
Swag kama Joslin, yes mimi
Pesa inaongea, mandem is speaking T shillings
East African Mbuzi best rapper it's 2024
Na bado najisifia fuck your past feelings
Wameenda kote kama mimi wanajaonaga
Afu sio kwa mbwembwe sio kwa rhymes sio kwa swaga
Pia sio kwa noma, sio kwa love, sio kwa zaga
Hesabu zangu hazielewekagi zig zaga
Shocking vibes wanahamaki
Na nikipull up you can't tell me nothing
Tulipotoka man We had nothing
Tunavyofanya saa hii Kama Illuminati
So tunaflex we flexing
Yeah yeah flex we flexing
Tuna flex we flexing
Yeah yeah flex we flexing
(Malume) Wananiita influensaa utasema doto magari
Hakinuki kinanukia ni pokopoko manjari
Unapunwa kwenye kamari unaputwa ka sio kabali
Ukiona mirungi mishisha basi jua sele halali
Na mziki sio lazma town watu washatokea Motika
Kesho jiwe la wiki leo ndo nandandia Ngorika
Hasira shingo zimefura ka tunaugulia goita
Siku hizi wine tukishakula huku tunaangalia Lolita
Imekuwa victory lap
Na bebe iko na nyama navyoila huku naislap
Napost move zilizopita ka unanifatilia snap
Hivo ukitaka kubana ka ukijua issa wrap
Na mambo ya house party nimewaachia wakalii wa jiji
Wakiuliza Dom Vipi nawaambia Dodoma jiji
Wanantumia mialiko na bado siji
Bora niende tabata kwa mwanangu Bad weedy
Shocking vibes wanahamaki
Na nikipull up you can't tell me nothing
Tulipotoka man We had nothing
Tunavyofanya saa hii Kama Illuminati
So tunaflex we flexing
Yeah yeah flex we flexing
Tuna flex we flexing
Yeah yeah flex we flexing
(It's over till suffer baby)
Thirteen years in the game Call me BABA
Mpaka leo watoto nawakaba
Bebe nyingi but don't fuck without a rubber
Allow me to introduce Wizzy me ni Shaba
Najua kupoa madem ng'oa I mind my fucking business
Ukiona watoto wanatoboa basi they fucking listen
Kila Baba anachosema so mshinishindanishe
Me naenda kama daraja so wacheni watoto wapite
Watu wana snitch wakiiona money
Me Mwenyewe natosha one man army
I can never beg a bitch for punani
Mambo sijui ya kuchuja tulianza zamani
Pesa ndo mpango ndo wanapoliwa mama zako
Na anachukuliwa mbele yako
Na utakalishwa kitako na tutakwacha peke yako
Nani alilie shida zako
Tafuta mkwanja we hustle my nigga (pyuh)
Okay easy dog yeah
Huwezi rap kama hivi bro yeah
Kama Zilla jinsi nilivo yeah
Wizzy ni balaa king Wizzy king wizzy wizzy ni balaa
So tunaflex we flexing
Yeah Yeah flex we flexing
Tunaflex we flexing
Yeah Yeah flex we flexing
(Ugomenyee) Njwani akamanyapo kun'jini twise kubhomba fiki
Malafyale kiki fyofiki komakipiki
Ughwe umenyeeee Kukajaa Mbeyaaa nakijitiiii
Nimefungua dunia na nia bhakutifiki
Nilipo nimwene twesa pamopene
Kuchanganya unyaki kumenijaza mapene
Amasiku agha sitikeee nimnenee
Mweee eeeh momumooo nkamu mpaka waseme
We outchea johari masaki mjini tayari
Umenye nfume kutali kwiputa sana kusali
Achana na nilikofika nilikotoka ndio mbali
Bhakuti nifikile bhakamanyapo hatulali
Biashara ilikua kuuza vitu
Congo tower kariakoo winga kila kitu
Nimeaga kwetu bhati bhukagha wa kumyitu
Abhandu bha kyala wamefungua roho kwatuuu
So tunaflex we flexing
Yeah Yeah flex we flexing
Tunaflex we flexing
Yeah Yeah flex we flexing
Picha linaanza niko na mboga kama tano
Zote zinazimia michano
Kama mchizi flani nimedraw uko Remitano
Sa utanipa ngapi ka mitaa imenipa tano
Got a lot of them I know kama hater ni kibano
We made the game for these boys so lazima urespect
Napomuona Yule Boy namuona fishmate
Your whole gang wanaact like they know the business
We killing everything moving na hakuna kuacha witness
Mapicha kibao kama snap ya supermodel
Chini ya muarobaini mjomba nimeokota dodo
Used to have nothing saivi wananiomba photos
Ukifunga mmoja si Mungu anafungua like 4 doors oh no
He a CEO kwenye flow Sean Paul see how we go
Ukiwa unashinda tu wanapanick why you getting better
Na bado nikiona bebe zao nawaambia call me later
So tunaflex we flexing
Yeah Yeah flex we flexing
Tunaflex we flexing
Yeah Yeah flex we flexing
(One time) Si tunajua wanakunja sana rohoni kwao
Tuna bang Tunatamba mpaka mtaani kwao
Bila demu kila game tunapiga bao
Na tuko fresh iwe kwa ngumi mpaka paauuww paauuwh
Tukikutana nao sina story nao
Hi labda size yao
Tofauti kubwa kati ya wanangu na wanao
Wameshindwa kabisa kuwa busy na mambo ya kwao
Check itifaki fake unabaki
Unawekwa mtu kati na unatembezwa kiwacky
Chuma imepaki kushuka hatutaki
Moshi umetanda kama tunachoma mishkaki
I'm just big boy with a one man show
Teria bango kubwa one time for my crew here we go now
Uzembe kitambo tuliutupaga huko kando
Tukajichoma machanjo as you can see now
So tunaflex we flexing
Yeah Yeah flex we flexing
Tunaflex we flexing
Yeah Yeah flex we flexing
(Yeah yeah it's Conboi)
Stacking bills bankroll's on a roll
On the grind everyday my ambitions on a scroll
Sacrifice my life kwenye hii game no joke
Kila sauti inaposikika kila sehemu inakuwa smoke
On the scene making moves like a chess
Navigating life each move no less
Checkmate moments under life's egress
Mi ni mshindi kivyovyote check ambavyo ninavyo flex
I'm blessed Kwenye mic huwaga sibahatishi
Usiombe ukinikuta nimezungukwa na mchizi kama hivi
Huu mchezo ni wa kwetu bila ya ubishi
Do this rap familia zetu zije kuishi
Real nigga nigga wala sicheki na makima
Nishakuwa star but I never change my demeanor
Usije kichwa kichwa ukahisi unaweza kunipima
Gonna catch a body kesho wakakusahau nikakuzima
So tunaflex we flexing
Yeah Yeah flex we flexing
Tunaflex we flexing
Yeah Yeah flex we flexing
Lyrics powered by www.musixmatch.com