Credits
AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Deva Apoll
Künstler:in
Best Rapper
Künstler:in
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Deva Apoll
Komponist:in
Lyrics
Yeah the best nigga or africa
Best-rapper
Aka Karahabutaka
Deeeva wowow
DTband again
One recordz
Hakuna aliye zaliwa duniani aka komaa bila ku tambaa chini
Na maisha ina changanya akili maana utasikiya kuna juu na chini
Dada yako akipenda mapenzi maana yake anataka tuguse chini
Ona sasa naji uliza,kwanini mungu yuko juu na shetani chini
Chini chini kuna nini bwana
Chini chini chini chini kuna nini,kuna nini bwana
Ma Kaka tafuta mapesa usije ku bakiliya wapi chini
Ma dada wana tupenda ila kama huna hela wataku tupa chini
Na mutu akifa duniani ni huruma sote tunazika chini
Hata uki enda shambani hakuna ubishi utalima chini
Polisi aki kukamata ana kwambiya we kijana kaa chini
Towa vyovyote ulivyo navyo nasema tuliya chini
Chini chini chini bwana
Chini chini chini chini kuna nini
Chini chini chini bwana
Chini chini chini chini kuna mambo
Chini chini chini bwana
Twende chini chini chini kuna nini
Kule Chini chini chini chini
Kule chini
Ma Kaka tafuta mapesa usije ku bakiliya wapi chini
Ma dada wana tupenda ila kama huna hela wataku tupa chini
Na mutu akifa duniani ni huruma sote tunazika chini
Hata uki enda shambani hakuna ubishi utalima chini
Polisi aki kukamata ana sema we kijana kaa chini
Towa vyovyote ulivyo navyo nasema tuliya sana
Eti kule chini
Chini chini chini kuna utamu
Sana
Chini chini chini wapata gani
Sana
Chini chini chini kuna utamu
Sana
Eh chini chini chini wapata gani eeh
Sana
A tschu tschu tschu tschu
Chu chu chu chu
Tschu tschu tschu tschu
Chu chu chu chu
A tschu tschu tschu tschu
Chu chu chu chu
A tschu tschu tschu tschu
Chu chu chu chu
Afanya hivi
Hivi
Fanya hivi
Hivi
Afanya hivi
Hivi
Geuza geuza
Wapagani uki wa tafuta uta wapata wapi
Uki taka ule bata tafuta wapi
Una kiuno kinene ki katiya wapi
Tu kunywe tulewe tuki kufa tuta zikwa wapi
Chini
Chini chini chini bwana
Chini chini chini chini kuna nini
Chini chini chini bwana
Twende chini chini chini kuna mambo
Chini chini chini bwana
Twende chini chini chini kuna nini
Kule chini chini chini chini bwana
Kule chini
Eti kule chini
Sana
Chini chini chini kuna utamu
Sana
Chini chini chini wapata gani
Sana
Chini chini chini kuna utamu
Sana
Chini chini chini wapata gani eeh
Sana
Chini chini chini bwana
Chini chini chini bwana kuna nini
Chini chini chini bwana
Twende chini chini chini kuna mambo
Chini chini chini bwana
Twende chini chini chini kuna nini
Kule chini chini chini chini bwana
Kule chini
Eti kule chini
A tschu tschu tschu tschu
Chu chu chu chu
Tschu tschu tschu tschu
Chu
Sana
A tschu tschu tschu tschu
Chu chu chu chu
A tschu tschu tschu tschu
Chu
Sana
Afanya hivi
Hivi
Fanya hivi
Hivi
ATschu tschu tschu tschu
Hivi
Chu chu chu chu chu chu chu
Wapagani uki wa tafuta uta wapata wapi
Chini
Uki taka ule bata tafuta wapi
Na chini
Bbass
Nomah
Lyrics powered by www.musixmatch.com