Top Songs By FD BOY
Credits
AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
FD BOY
Künstler:in
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
FD BOY
Songwriter:in
Lyrics
Utamu wa mapenzi mi naona tamu..
Nimesahau ya jana mh mmh..
Mtekemtekea sweet banana, mpaka tunafanana..
Nishapigwa dana dana mpaka soo..
Wewe ni zawadi uloletwa na mungu kwenye maisha yangu..
Ishara tuchome udi kwa dua..
Kwenye moyo wangu nmepata jawabu. .
Jibu la swali langu..
Sina janja janja tena..
Chorus
Niambie unatakaje?
Unapendaje?
Unasemaje?
Nikutimizie
Niambie unatakaje?
Unapendaje?
Unasemaje?
Nikutimizie
Verse2
Hodari wa joto umewasha penzi moto..
Changa moto tumeshinda misoto..
Sasa nitake nini tena?..
Moyo wako mpaka maokoto,
unavyonisaga mithili ya kokoto..
Yaani bado hawajasema..
Honey unanifanya najidai,mtaani kote heshima..
Hili penzi paradise..
Upendo makopa kwa sana, ahadi za kuzikana..
Hii dunia ina mengi mazuri najionea..
Wewe ni zawadi uloletwa na mungu kwenye maisha yangu..
Ishara tuchome udi kwa dua..
Kwenye moyo wangu nmepata jawabu jibu la swali langu..
Sina janja janja tena..
Chorus
Niambie unatakaje? Unapendaje?
Unasemaje?
Nikutimizie
Niambie unatakaje?
Unapendaje?
Unasemaje?
Nikutimizie..
Written by: FD BOY