Credits
AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Hamis Bss
Künstler:in
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Hamis Bss
Songwriter:in
PRODUKTION UND TECHNIK
Jeydrama
Produzent:in
Lyrics
Nipende Peke yangu Chimama tushare Kila kitu Hadi jina.
Nisha kukubali una waza Nini Kungwi wako hodari.
Na Mimi nakupatia fundi hatari wasio na kazi usiwaona rijali.
Ooonh.
Honey darling una taka Nini kwani ukitaka vya uvunguni usiviombe Kwa jirani.
Honey darling una taka Nini kwani ukitaka vya uvunguni usiviombe Kwa jirani
Ukisikia nimekucheat sio Mimi ni pombe. (Mmnh)
Nikimtaka rafiki Yako ni pombe. (Oouonh)
Ndani Kwa ndani Kinauma si hatutali tuna bebana.
Hatuachani tumegandani Leo kesho mpaka kihama
Mpenziii
Zimfikie habari Mpenzi wa zaman aliyeniacha kisa dollar
Oonh.
Penzi limeshamili nakula maisha kwake hakuna kama mimi.
Oonh
Honey darling una taka Nini kwani ukitaka vya uvunguni usiviombe Kwa jirani.
Honey darling una taka Nini kwani ukitaka vya uvunguni usiviombe Kwa jirani
Ukisikia nimekucheat sio Mimi ni pombe. (Mmnh)
(Sio Mimi ni pombe).
Nikimtaka rafiki Yako ni pombe. (Oouonh)
(Sio Mimi ni pombe).
Written by: Hamis Bss