Lyrics
Hiyo mbosho ni yangu
Kuja polite
Hiyo tenje pia ni yangu
Buda ati weh ni nani tena
Arif wako hapa ni mgani
Petko digaga
Huyo ni OT, na pia yeh hakutambui
Hatuitii mabouncer
Weh ni pinji
calendar imesema ni 40th
Bahati mbaya kwako
Leo ni ile siku ya on site
Left right left right
Kahasho
Alafu mateke
Mzii kapata wazieng'
Left right left right
Makumbo kwa face
Next time ukipinji, toka teke
Ndio usikulwe mateke
Buda niko rada
Ata kaa niko nyanya
Buda niko rada
Ata kaa nimenyanya
Buda niko rada
Ata kaa niko nyanya
Buda niko rada
Ata kaa nimenyanya
Cheki fala anahepa
Sisi hao nyuma yake mwendo aste
Huyu hatutoki
Ikibidi ajipeleke stenje
Akapewe protection na masanse
Yeh ni pinji
Calendar imesema ni 40th
Bahati mbaya kwake
Msamaha tuna abadan kataa
Buda niko rada
Ata kaa niko nyanya
Buda niko rada
Ata kaa nimenyanya
Buda niko rada
Ata kaa niko nyanya
Buda niko rada
Ata kaa nimenyanya
Buda niko rada
Buda niko rada
Buda niko rada
Buda niko rada
Ata kaa niko nyanya
Buda niko rada
Ata kaa nimenyanya
Buda niko rada
Ata kaa niko nyanya
Buda niko rada
Ata kaa nimenyanya
Written by: Fidel Halwenge Okoth