Music Video

Lyrics

[Chorus]
Sina (Mm-mm) hadi kadinga,(Kavroom)
Lakini form ni kuroga hadi kwa speaker (Uh huh)

[Verse 1]
Unadinda biz ishaa ingia
Na unadai feature, peace nishaa ishia, yeah
Skia, form ni right here
Nadai malkia, akue my dear
[Verse 2]
Juu nina nia, nadai kushine clear
Nibuy pizza, nidishi na Shareefa
Pima, mi si mama pima
Molly imeshika nikaa tuko Ibiza
[PreChorus]
Tuko on, tuko on by 4
Na kenye miudu first, mi uroll ndom
Juu tuko on, tuko on by 4
Na kenye miudu first, mi uroll ndom
[Chorus]
Sina (Mm-mm) hadi kadinga,(Kavroom)
Lakini form ni kuroga hadi kwa speaker (Uh huh)
Sina (Mm-mm) hadi kadinga,(Kavroom)
Lakini form ni kuroga hadi kwa speaker (Uh huh)
[Refrain]
Weko, waagwan
Niko niko niko waba
Ati weko, waagwan
Niko niko niko waba
[Chorus]
Sina (Mm-mm) hadi kadinga,(Kavroom)
Lakini form ni kuroga hadi kwa speaker (Uh huh)
Sina (Mm-mm) hadi kadinga,(Kavroom)
Lakini form ni kuroga hadi kwa speaker (Uh huh)
[Verse 3]
Itisha ma Gibson, Lawson, Jameson
Tu turn the ladies on, with this song, with this song
If the d*ck too nice think twice
Character development apa uta revise
[Verse 4]
Its a friday sherehe adi che
Wambie aje, wakam na ma beshte
Nika thicker, kana ishi thika
Kau party Laviva kau penda quicky kwa dinga
[Verse 5]
Niko on, tuko on by 4
Na kenye miudu first, mi uroll ndom
Juu tuko on, tuko on by 4
Na kenye miudu first, mi uroll ndom
[Refrain]
Ati weko, waagwan
Niko niko niko waba
Ati weko, waagwan
Niko niko niko waba
[Chorus]
Sina (Mm-mm) hadi kadinga,(Kavroom)
Lakini form ni kuroga hadi kwa speaker (Uh huh)
Sina (Mm-mm) hadi kadinga,(Kavroom)
Lakini form ni kuroga hadi kwa speaker (Uh huh)
Sina (Mm-mm) hadi kadinga,(Kavroom)
Lakini form ni kuroga hadi kwa speaker (Uh huh)
Sina (Mm-mm) hadi kadinga,(Kavroom)
Lakini form ni kuroga hadi kwa speaker (Uh huh)
[Verse 6]
Naskia form nikuroga hadi kwa speaker
Kuchachisha kwa dinga, kusaka tu ma 3some
Fom itajipa tukiwa liquor
Itisha hio mzinga, usilewe ukuwe mjinga
[Refrain]
Weko wagwan, juice man a badman
Flow na ma banger, sherehe kutoka jana
Niko on, walibleki by 4, moja ana saka phone, anataka kutoa fom
Ya ndom and more
[Verse 7]
Juice twende home for what you know
Mrembo amenicorner kwenye zone
Tuko sherehe misidai ku enda home
Nilikushow vile
[Chorus]
Sina (Mm-mm) hadi kadinga,(Kavroom)
Lakini form ni kuroga hadi kwa speaker (Uh huh)
Sina (Mm-mm) hadi kadinga,(Kavroom)
Lakini form ni kuroga hadi kwa speaker (Uh huh)
[Chorus]
Sina (Mm-mm) hadi kadinga,(Kavroom)
Lakini form ni kuroga hadi kwa speaker (Uh huh)
Sina (Mm-mm) hadi kadinga,(Kavroom)
Lakini form ni kuroga hadi kwa speaker (Uh huh)
[Outro]
Unadinda biz ishaa ingia
Sina, madika dinga
Na unadai feature, peace nishaa ishia
Sina, madika dinga
[Outro]
Unadinda biz ishaa ingia
Sina, madika dinga
Na unadai feature, peace nishaa ishia
Sina, madika dinga
Written by: Arrif Shizo, John Odula, Mark M Munyaka
instagramSharePathic_arrow_out