Credits

AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Muhibi Tz
Muhibi Tz
4-saitige Gitarre
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Muhibi Tz
Muhibi Tz
Songwriter:in

Lyrics

Nakuambia babe,wendo msiri wa moyo wangu
Usiwe Kama ex,ukachit ukatangaza aibu zangu
 
Ww ni wa sasa sio wale wajuzi,walopiga mtama furaha yangu
Usiwe kuti kidaka kwa mnazi ukajeruhi kichwa changu
Maana mapenzi ya sasa yamekuwa tafarani
Kiti analeta mikasaa anasingiziea mashetani
 Yani wee wee umeniweza
Juu mpk chini unachombeza
Mi kwaa koo njiwa mateka
Ayy wewee
utulize moyo
Moyo unavishawishi vingi
Utulize moyo
Tulizatuliza tuliza moyoo
Utulize moyo
Tulizaa tulizaa wako moyo
Utulize moyo
Aaaah aaah aah
Nafsi yatulia,mawazo umenifuta
Huba la dunia,akili umeizongaa
Twende far away mi na we
Yani usidelay tuwe wote mileleee
Rote rote Hasna siko haste haste roonaa
Chalte chalte upake hina na Vipiko penzi pambe pambe tutoke dinner
Yani wee wee umeniweza
Juu mpk chini unachombeza
Mi kwaa koo njiwa mateka
Ayy wewee
utulize moyo
Moyo unavishawishi vingi
Utulize moyo
Tulizatuliza tuliza moyoo
Utulize moyo
Tulizaa tulizaa wako moyo
Utulize moyo
Aaaah aaah aah
 Unanichanganya changanya
Wapekee moyoni Umefika
Unanimalizamaliza malizaa
Na mikogo mlimani nafika
Paambe penzi letu linang’araa
Paambe penzi letu linang’araaa
Written by: Muhibi Tz
instagramSharePathic_arrow_out