Top Songs By Tipsy Gee
Similar Songs
Credits
AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Tipsy Gee
Künstler:in
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Tipsy Gee
Komponist:in
Lyrics
Cheki
Mana tipsyyy
(Like a boss)
How pretty is your neighbour
Ju wangu jo ni peng
Jana saba ilinibamba
Venye bana alibend
Nilizubalia denda kizubi zubigeng
Nilicheck nikacheck again and again
She's a ten kameiva
Kasipogeuzwa kataungua
Ni ka diva kanasumbua
Kanafanya adi mi na shiver na sina cure
Mi nacheza sure katajipa si unanijua
Peng check confirm nishakemba katam
Na venye jo kamevaa kamekaa kamenijam
Na bado sijangam ata ka ni jina ya gram
Na inafanya najam bana inafanya najam
Taki nakati takitaki mi nataka sana
Taki nataki nataka kukujua sana
Chini ya maji takitaki mi nataka sana
Taki nataki nataka kukujua sana
Taki nakati takitaki mi nataka sana
Taki nataki nataka kukujua sana
Chini ya maji takitaki mi nataka sana
Taki nataki nataka kukujua sana (mana tipsyyy)
Fetish yangu huwanga funny
Yaani bora akona bunda dredi na ni mali safi
Mtoto wa nyumbani
Short and sweet tu visexy
She be my queen kanadunga dera
Kanataka mi ni cheki
Pale kwa hip kakituck mimi kwisha
Kwanza kakiuma lips
Si mi kashanibakisha
Sai mi nasip mahali kamenifikisha
Naona mi nikichizi
Msupa ni
Peng check confirm nishakemba katam
Na venye jo kamevaa kamekaa kamenijam
Na bado sijangam ata ka ni jina ya gram
Na inafanya najam bana inafanya najam
Taki nakati takitaki mi nataka sana
Taki nataki nataka kukujua sana
Chini ya maji takitaki mi nataka sana
Taki nataki nataka kukujua sana
Taki nakati takitaki mi nataka sana
Taki nataki nataka kukujua sana
Chini ya maji takitaki mi nataka sana
Taki na nataki nataka kukujua sana
(Instrumental)
She's a ten kameiva
Kasipogeuzwa kataungua
Ni ka diva kanasumbua
Kanafanya adi mi na shiver na sina cure
Mi nacheza sure katajipa si unanijua
Lyrics powered by www.musixmatch.com