Featured In

Credits

AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
D POPY
D POPY
Künstler:in
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
abdulkarim geuka
abdulkarim geuka
Songwriter:in

Lyrics

Haa goodfather
Eti baby Baby wako nani
Et sweet sweet Wako nani
Koma best kwanza namba yako ngeni
Sema upesi mana niko honey
Kumbe wewe Chawa ukurutu Upele
Kumbee yeye pupa kiherehere
Kumbe wewe samahani
Sasa wewe Sema unataka nini ...
Kama kutoka nshatoka kwenye ilo penzi
Mamilioni malaki kurudi siwezi
Siuliniona chakavu tena mshenzi
Kunikandia kunidisi mapenzi siwezi,aa
Aaah Nafuraha
Nimeachana Zombie.
Aaah Nafuraha
Nimeachana na Jini
Shoga kwa mkomwe huo
Aliekupenda kapata hasara
Bado nnawaza hivi unakoroma wakati wa kulala
Nimekumbuka haaa hivi siku hizi una change underware au bado ziko mbili pink na nyeupe ambayo unatokea.
Hoo hoo hoo
Na swali moja afya mnacheki au mna do ka masoldier na mwenzako nyoo nyoo nyoo umeshapona U.T.I sugu au bado inakutafuna haa
Kama kutoka nshatoka kwenye ilo penzi
Kama kutoka nishatoka kwenye ilo penzi
Nirudi kwako tena kwanini
Mamilioni malaki kurudi siwezi
Sikuwazi nyumani
Siuliniona chakavu tena mshenzi
Kwangi wewe umesahau nini
Kunikandia kunidisi mapenzi siwezi
Hapana cheki tena kwingineee
Aaah Nafuraha
Nimeachana Zombie.
Aaah Nafuraha
Nimeachana na Jini
Kama kutoka nshatoka kwenye ilo penzi
Nirudi tena kwanini
Mamilioni malaki kurudi siwezi
Sikuwazi nyumani
Siuliniona chakavu tena mshenzi
Kwangi wewe umesahau nini
Kunikandia kunidisi mapenzi siwezi
Hapana cheki tena kwingineee
Written by: abdulkarim geuka
instagramSharePathic_arrow_out