Top Songs By Ben Cyco
Credits
AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Ben Cyco
Künstler:in
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Bernard Kariuki
Songwriter:in
Lyrics
[Verse 1]
God your love is sweeter than money
Bora kuliko divai
Fadhiil zako ni njema kuliko uhai
U Mungu wa rehema, mmh! na neema
Mvumilivu, mwingi wa mapenzi ya kweli ohh ohh!
[PreChorus]
I don’t want fame
I don’t want cars, I don’t want cash
Overtake my heart
Jehovah, nimetosheka na we
I don’t want fame
I don’t want cars, I don’t want cash
Overtake my heart
Jehovah, nimeridhika na we
[Chorus]
Nime, nimetosheka na wewe
Tosheka na wewe, tosheka na wewe
Nimetosheka na we’
Nime, nimeridhika na wewe
Ridhika na wewe, ridhika na wewe
Nimeridhika na we
[Verse 2]
Sifa zangu kwako ni kama aroma
Nikiwa kwa noma wanisikia ah ah
Na moyo wangu baba ushausoma
Unauona, wakutamani kuliko mali
[PreChorus]
I don't want fame
I don’t want cars, I don’t want cash
Overtake my heart
Jehovah, nimetosheka na we
I don’t want fame
I don’t want cars, I don’t want cash
Overtake my heart
Jehovah, nimeridhika na we
[Chorus]
Nime, nimetosheka na wewe
Tosheka na wewe, tosheka na wewe
Nimetosheka na we’
Nime, nimeridhika na wewe
Ridhika na wewe, ridhika na wewe
Nimeridhika na we
[Chorus]
Nime, nimetosheka na wewe
Tosheka na wewe, tosheka na wewe
Nimetosheka na we'
Nime, nimeridhika na wewe
Ridhika na wewe, ridhika na wewe
Nimeridhika na we
Written by: Bernard Kariuki