Lyrics

[Verse 1]
Kama ni mapenz,i mpenzi
Yana nitatiza, mmh
Napenda mapenzi harafu siyawezi
Hodari wa kulizwa, mmh
Ukomando siuwezi ooh
Napenda kudekezwa, mmh
[Verse 2]
Hata ukisema unaniacha unamuwachia nani
Vi ujinga vyangu hivi nipende tu
Kwako nisipo deka nita mdekea nani
Na utoto wangu huu nipende tu hivyo hivyo
[Chorus]
Hayo ndo mapenzi
Mmh, mmh
Mmh, mmh, mmh
Mmh, mmh
[Chorus]
Huku ndo kupendana
Mmh, mmh
Mmh, mmh, mmh
Mmh, mmh
[Verse 3]
Kuficha maradhi
Kuficha ugonjwa ndo kitu ambacho siwezi
Ikitokea nimekuudhi usifanye maamuzi
Ukisikia miruzi ni ya mbwa siyo mbuzi
[Verse 4]
Hata ukisema una niacha unamuwachia nani
Vi ujinga vyangu hivi nipende tu
Kwako nisipo deka nita mdekea nani
Na utoto wangu huu nipende tu hivyo hivyo
[Chorus]
Hayo ndo mapenzi
Mmh, mmh
Mmh, mmh, mmh
Mmh, mmh
[Chorus]
Huku ndo kupendana
Mmh, mmh
Mmh, mmh, mmh
Mmh, mmh
[Chorus]
Ayo ndo mapenzi
Mmh, mmh
Mmh, mmh, mmh
Mmh, mmh
[Chorus]
Huku ndo kupendana
Mmh, mmh
Mmh, mmh, mmh
Mmh, mmh
Written by: Ziddy Value
instagramSharePathic_arrow_out