Top Songs By Ambulance Amos
Credits
AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Ambulance Amos
Künstler:in
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Nay Wa Mitego
Songwriter:in
Lyrics
[Intro]
Jajojo
Its me again
Baba yaga na ambulance
Mbombo boy
[Chorus]
Ayeeh (Lazima uhonge)
Eeehh (Lazima)
Ayeeh (Lazima uhonge)
Eeehh (Lazima)
[Verse 1]
Ulivyomnene maskini ya Mungu na hilo komwe (Lazima uhonge)
Umri umekwenda, na hao vijana unavyowapenda (Lazima uhonge)
Unasema eti dada yetu umemuelewa (Lazima uhonge)
Sisi ndo mashem hakikisha wote tunalewa (Lazima uhonge)
[Verse 2]
Pisi ni kali, bonge la shepu, kuizagamua (Lazima uhonge)
Nikikutega na hili jicho we huchomoi (Lazima uhonge)
Si unataka kumpeleka kwa mpalange (Lazima uhonge)
Kibonge bonge hauna shepu nani akupende (Lazima uhonge)
[Chorus]
Ayeeh (Lazima uhonge)
Eehh (Lazima)
Ayeeh (Lazima uhonge)
Eehh (Lazima uhonge)
Ayeeh (Lazima uhonge)
Eehh (Lazima)
Ayeeh (Lazima uhonge)
Eehh (Lazima uhonge)
[Verse 3]
Mademu mnataka nini mademu (Tunataka hela)
Mademu mnataka nini mademu (Tunataka hela)
Mademu mnataka nini mademu (Tunataka hela)
Mademu mnataka nini mademu (Tunataka hela)
[Verse 4]
Hicho kitambi utadhani ngoma ya kwenye bendi (Lazima uhonge)
Sura nzito kama vile una undugu na bundi (Lazima uhonge)
Ukitaka kupendwa kwa mapenzi ya siku hizi (Lazima uhonge)
Ukiwa na ndogo na ukitaka apige kelele (Lazima uhonge)
[Verse 5]
Acha matambo peleka moto na hiko kimoko (Lazima uhonge)
Sura ka ugoko, hauna maokoto, unataka toto (Lazima uhonge)
Shepu hauna, sura hauna unataka bwana handsome (Lazima uhonge)
Umempenda huyo ni kenge tunamjua ili mdumu (Lazima uhonge)
[Verse 6]
Busy gym kusaka masixpack, vaa, pendeza uwe mtanashati
Huo ujinga siku hizi mademu hawataki upewi uroda labda upewe chapatti
Unataka penzi la milele kama mkataba wa bandari (Lazima uhonge)
Aahh Neeyy mambo gani tena hayo
[Verse 7]
Mademu mnataka nini mademu (Tunataka hela)
Mademu mnataka nini mademu (Tunataka hela)
Mademu mnataka nini mademu (Tunataka hela)
Mademu mnataka nini mademu (Tunataka hela)
[Chorus]
Ayeeh (Lazima uhonge)
Eehh (Lazima)
Ayeeh (Lazima uhonge)
Eehh (Lazima uhonge)
Ayeeh (Lazima uhonge)
Eehh (Lazima)
Ayeeh (Lazima uhonge)
Eehh (Lazima uhonge)
Written by: Nay Wa Mitego