Credits
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
PIUS CAMILUS MBILIGENDA
Songwriter:in
Lyrics
Darlin' tabasamu lako
Ndoliloniweka matatani tena toka
Ujio wako
Nimeanza kuenda kanisani baby
What a blessing to have you in my life
Mwendo shape Uzuri na macho
Utasema mdoli wa dukani ntakupa nilichonacho
Na kama sina kipo njiani baby
What a blessing to have you in my life
I wanna marry you
I wanna live forever(with you)
I wanna stay with you
I wanna travel the world with you
Taking pictures, making memories too
Me and You
Tuna nia
Na uwezo
Tumepania
Huu ni mwanzo
Hatutaki
Mapendekezo
Na ulivo fresh fresh(Oh honey)
Mungu kabless bless(sio utani)
Ntakuwa mcheshi cheshi(mkojani)
Usiende race race
Usije ukayabanga
Nkakesha kwa waganga Ooh
Unanipenda mi, Nakupenda you
Haisaidii , ukinijia juu
Nieleze tulisovu
Usifuge maovu
I wanna marry you
I wanna live forever(with you)
I wanna stay with you
I wanna travel the world with you
Taking pictures, making memories too
Me and you
Tuna nia
Na uwezo
Tumepania
Huu ni mwanzo
Hatutaki
Mapendekezo
Darling Tabasamu lako ndo liloniweka matatani
Tena toka ujio wako
Nimeanza kwenda kanisani baby
What a blessing
What a blessing
Written by: PIUS CAMILUS MBILIGENDA