Similar Songs
Credits
AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Lomodo
Künstler:in
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Liberatus Zeno Yeronimo
Songwriter:in
Lyrics
[Verse 1]
Nimekukabidhi moyo, usinifanyie choyo
Nimechoka kuwa solo ooh! (Solo ooh!)
Sitaki nyama kibogoyo, nipe maini supu ya kongoro
Ila geto usiwe mtoro ooh
[Chorus]
My baby namwagilia huu upendo
Mimi na wewe milele daima (Daima, daima)
Yani baby nalilia huu upendo
Nyuma nilishateseka kiaina (Kiaina, kiaina)
[PreChorus]
Na umbo lako dogo dogo baby
Kisura chako chaki baby face
Mimi utaniumiza kama nikikukosa
Maana kila ninapokuona mie
[Chorus]
Mmh! Aah! Mmh! (Mmh)
Mmh! Aaah! Mmh!
Mmh! Aah! Mmh!
Naishia kuguna ninavyo sa cha ya kuongea
Mmh! Aah! Mmh! (Haee!)
Mmh! Aah! Mmh!
Mmh! Aah! Mmh!
Yaani naguna hata nashindwa kuongea
[Verse 2]
Katika viumbe vyote vilivyo umbwa
Yani wewe ndio umeumbika kuliko vyote
Sikuonei kasoro, najionea mchumba
Yani wewe ndio umeumbika kuliko wote
[Chorus]
Namwagilia huu upendo
Mimi na wewe milele daima (Daima, daima)
Yani baby nalilia huu upendo
Nyuma nilishateseka kiaina (Kiaina, kiaina)
[PreChorus]
Naumbo lako dogo-dogo baby
Kisura chako chaki baby face
Mimi utaniumiza kama nikikukosa
Maana kila ninapokuona mie
[Chorus]
Mmh! Aah! Mmh! (Mmh)
Mmh! Aah! Mmh!
Mmh! Aah! Mmh!
Naishia kuguna ninavyo sa cha ya kuongea
Mmh! Aah! Mmh! (Haee!)
Mmh! Aah! Mmh!
Mmh! Aah! Mmh!
Yaani naguna hata nashindwa kuongea
Written by: Liberatus Zeno Yeronimo