Top Songs By Mkizer HBC
Credits
AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Mkizer HBC
Künstler:in
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Mkizer HBC
Songwriter:in
EDDIE MUZIC
Songwriter:in
PRODUKTION UND TECHNIK
EDDIE MUZIC
Produzent:in
Lyrics
Niko mpakani kuwazuia waasi
Kulinda hili taifa home ulale bila wasi
Nilicho bahatika ni kupata karatasi
Lakini nime kosa pen kwa hyo naandikia risasi
Nitunzie tunda washenzi wasitoe maganda
Ili siku nikirudi niku vike pete chanda
Naamin uta pendeza maana wata kupamba
Hapo ume vaa shela mwenzako nime vaa gwanda
Tqmbua kwamba sikuachi mpka nizikwe
Hata mademu huku haziivi hata wazipike
Kuna mmoja ambaye ana lazimisha anishike
Anaitwa ANOPHELES na mwenyewe ni mbu jike
Sema nikishika adui mama waga sihirumii
Yan siachi alete madhara kwenye jamii
Kwa kumtulizaa na tumiaga nanii
Au rungu ila bunduki yako waga siitumii
Kila niikiwaza unan ngoja sihofii danger
Japo kutwa n jog kupumzika n ranger
Sina sikukuu hata ikifika December
Hata nyimbo ikipigwa sio Amapiano n chenja
I\'ve never miss home naku miss wewe hapo
Kwenye wallet yangu nime beba picha yako
Yan kutwa na hustle
Hata nikipata njaa sili wali naishia kula kiapo
It Is My Promise To Yah,
That If I Just Make It Out,
Girl I\'m gonna be home,
Okay and Alright,
Even If I\'m A Thousand Miles Away,
I Keep It As A Promise To Yah,
That If I Just Make It Out,
Girl I\'m gonna be home,
Okay and Alright,
Even If I\'m A Thousand Miles Away,
Still I\'m Gonna Make It
I\'m Gonna Make It
Still I\'m Gonna Make It
I\'m Gonna Make ItI\'m
Nikisema usiku silali kwaajilii yako na maanisha
Nataka uwe salama wewe na hili taifa
Afu huku nilipo kiukweli nahatarisha
Penzi langu me na wewe hata yangu maisha
Afu sijafata fedha wala dinga
Ila kauli zako nilizo shindwa kupinga
Kama ungetaka urembo sasa hivi ningekuwa chinga
Sema ulitaka mwanaume ambaye ata kulinda
Huwa naona drama kambi ikipamba moto
Hata ikinyesha mvua kiukweli nahisi joto
Huku wana washa moto
Kibogoyo akija huku lazima aote meno kwenye ndoto
Navyo cheka ya wengine yangu naya ombea kwa Mungu
Mahusiano yana vunjika daily utasema vyungu
Kuna kuruta katoswa analia kwa uchungu
Na kabatizwa hata hawajali kama ni mtoto wa Mungu
It Is My Promise To Yah,
That If I Just Make It Out,
Girl I\'m gonna be home,
Okay and Alright,
Even If I\'m A Thousand Miles Away,
I Keep It As A Promise To Yah,
That If I Just Make It Out,
Girl I\'m gonna be home,
Okay and Alright,
Even If I\'m A Thousand Miles Away,
Still I\'m Gonna Make It
I\'m Gonna Make It
Still I\'m Gonna Make It
I\'m Gonna Make It
Written by: EDDIE MUZIC, Mkizer HBC