Lyrics

[Verse 1]
Kapinga wewe, kapinga wewe
Umeme si unajua nakupenda
Chakula changu cha kila siku ni wewe
Nikila sishibi sikubali kabisa kushare na mutu
[Verse 2]
Kapinga muzuri tukitoka watu wote macho kwake
Nikulinde vipi wasije nipora kapi
Wenye nyumba mapesa magari wengi macho kwake
Nikufiche wapi oh baby
[Verse 3]
Kapinga wangu sura ya babie
Anapenda kucheka, kununa kwake non
Akikatika kidgo, nadata, namuita chèrie (Mi namuita chèrie)
Akitingisha body napiga kélélé
[PreChorus]
Chérie (Mi namuita chérie, chérie, chèrie)
Ah chèrie bolingo na ngai (Chérie, chérie, chèrie)
Chérie, Westone ilunga (Chérie, chèrie, chérie)
[Chorus]
Mwami Radhabu (Nishike, nikushike, nishike)
Ah (Nishike, nikushike, nishike ah)
Twende kati, kati, katika, ka (Boma nga lelo)
Kati, katika, ka, katika (Malembe mwana'a maman)
[Verse 4]
Bella, bella, eh (Belle mwana nzambe)
Simiyo ba milele (Eh, mutoto, Mungu)
Kuwa na kapinga moyo ina uma
[Verse 5]
Kila siku ni maneno, majungu na fitina
Eti mimi ninae nini, sifai kuwa na yeye
Kila siku makélélé jamani nini na mimi?
Wanataka niachane naye watasubiri sana
[Verse 6]
Kapinga wangu sura ya babie
Anapenda kucheka, kununa kwake non
Akikatika kidgo, nadata, namuita chèrie (Mi namuita chèrie)
Akitingisha body napiga kélélé chèrie (Mi namuita chèrie)
[PreChorus]
Chérie, chérie, chèrie
Nabelaka Yesu nde mawa (Chérie, chérie, chèrie)
Steve Nyerere (Chérie, chèrie, chérie) J.C Mudilu, collection
[Chorus]
Nishike, nikushike, nishike
Ah (Nishike, nikushike, nishike ah)
Twende kati, kati, katika, ka (Boma nga lelo)
Kati, katika, ka, katika (Malembe mwana'a maman)
[Refrain]
Ah, iyi, ah, nyiata, ah, simba, ah, luketo, ah, iyi, iyi, ah
Kila kitu mamukusa (Mamukusa)
Batu bote mamukusa (Mamukusa)
Tutacheza mamukusa (Mamukusa)
Kila kitu ni mamukusa (Mamukusa)
Ah, iyi, ah, nyiata, ah, simba, ah, twende, nyiata, ah
[Refrain]
Patrick Walongo (Tcheza taratibu)
Apocalypse Bella (Tcheza taratibu)
Betile Mazengo, Boss lady
Mère B, maman na bana (Nishike)
[Outro]
Chérie, chérie, chèrie
Chérie, chérie, chèrie
Chérie, chérie, chèrie
Nishike, nikushike, nishike
Written by: Christian Bella
instagramSharePathic_arrow_out