Music Video

JOEL LWAGA - MLIMA (Official Live Video)
Watch JOEL LWAGA - MLIMA (Official Live Video) on YouTube

Credits

AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Joel Lwaga
Joel Lwaga
Künstler:in
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Joel Lwaga
Joel Lwaga
Songwriter:in

Lyrics

Hakuna mlima usioweza kuuondoa Hakuna bonde usiloweza kusawazisha Hakuna jangwa usiloweza kulinyeshea Hakuna giza usiloweza kuliangaza Hakuna mlima usioweza kuuondoa Hakuna bonde usiloweza kusawazisha Hakuna jangwa usiloweza kulinyeshea Hakuna giza usiloweza kuliangaza Eeeh Yesu Eeeh Eeeh Yesu Eeeh Eeeh Yesu Eeeh Eeeh Yesu Eeeh Hakuna mlima usioweza kuuondoa Hakuna bonde usiloweza kusawazisha Hakuna jangwa usiloweza kulinyeshea Hakuna giza usiloweza kuliangaza Hakuna mlima usioweza kuuondoa Hakuna bonde usiloweza kusawazisha Hakuna jangwa usiloweza kulinyeshea Hakuna giza usiloweza kuliangaza Eeeh Yesu Eeeh Eeeh Yesu Eeeh Eeeh Yesu Eeeh Eeeh Yesu Eeeh Eeeh Yesu Eeeh Eeeh Yesu Eeeh Eeeh Yesu Eeeh Eeeh Yesu Eeeh Je, kuna neno kuna neno Kuna neno Usiloliweza Je, kuna neno kuna neno Kuna neno Usiloliweza Je, kuna neno kuna neno Kuna neno Usiloliweza Je, kuna neno kuna neno Kuna neno Usiloliweza Hakuna neno lolote Hakuna jambo lolote Hakuna neno lolote Hakuna jambo lolote Usiloliweza Usiloliweza Usiloliweza Usiloliweza Usiloliweza Usiloliweza Usiloliweza Usiloliweza Eeeh Yesu Eeeh Eeeh Yesu Eeeh Eeeh Yesu Eeeh Eeeh Yesu Eeeh Eeeh Yesu Eeeh Eeeh Yesu Eeeh Eeeh Yesu Eeeh
Writer(s): Joel Lwaga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out