Lyrics

[Verse 1]
Nipe kujua malengo, nipe kujua malengo
Nipe kujua malengo ya huduma yangu, malengo
Timiza nami malengo, timiza nami malengo
Timiza nami malengo ya huduma yangu, malengo
[Verse 2]
Ukiniuliza ni nani aliye kuumba
Haukuumbwa Baba ulikuwepo Baba
Basi nimejua wewe ndo uliyeumba malengo ya kweli
Nipe kujua malengo nipe kujua
Nisiende kwa njia ya mwili itamanishayo
Nipe kwenenda kiroho nikupendeze wewe
[Verse 3]
Ooh calm down moyo (Tululututulu)
Tulia na yeye tu (Tululututulu)
Atakupa njia sahihi (Tululututulu)
Utafanikiwa (Tululututulu)
Ah ooh calm down moyo (Tululututulu)
Mkabidhi yeye akutawale (Tululututulu)
Utajua yako malengo (Tululututulu)
Utafanikiwa (Tululututulu)
[Chorus]
Nipe kujua malengo, nipe kujua malengo
Nipe kujua malengo ya huduma yangu, malengo
Timiza nami malengo, timiza nami malengo
Timiza nami malengo ya huduma yangu, malengo
[Chorus]
Nipe kujua malengo, nipe kujua malengo
Nipe kujua malengo ya huduma yangu, malengo
Timiza nami malengo, timiza nami malengo
Timiza nami malengo ya huduma yangu, malengo
[Verse 4]
Naliona waliovuma kwa kasi yani vuup! Vuu!
Lakini wakaja zima kwa ghafla yaan vaap!
Najiuliza je walienda bila wewe au laa
Au kisado chao cha maombi kilikua chini
[Verse 5]
Najiuliza je walikuomba au laaa
Walitumia akili zao za ndani that's why wako hapa
Naogopa kuja kutereza zima vaap!
Naomba baba nipe kujua malengo
[Chorus]
Nipe kujua malengo, nipe kujua malengo
Nipe kujua malengo ya huduma yangu, malengo
Timiza nami malengo, timiza nami malengo
Timiza nami malengo ya huduma yangu, malengo
[Chorus]
Nipe kujua malengo, nipe kujua malengo
Nipe kujua malengo ya huduma yangu, malengo
Timiza nami malengo, timiza nami malengo
Timiza nami malengo ya huduma yangu, malengo
Written by: Godfrey Steven
instagramSharePathic_arrow_out