Music Video

FEMI ONE - STAKI (OFFICIAL MUSIC VIDEO) FEAT DOMANI MKADINALI - SEND '' SKIZA 6980549 '' TO 811
Watch FEMI ONE - STAKI (OFFICIAL MUSIC VIDEO) FEAT DOMANI MKADINALI - SEND '' SKIZA 6980549 '' TO 811 on YouTube

Featured In

Credits

AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Femi One
Femi One
Künstler:in
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
WANJIKU KIMANI
WANJIKU KIMANI
Songwriter:in

Lyrics

[PreChorus]
Hii clique ni ya wanati (Skrr skrr), hunipati
Wallahi aki, unaezadhani ni Illuminati, wapi?
[Chorus]
Staki na staki, staki na staki, staki na staki (Staki na staki)
Staki na staki, staki na staki, staki na staki na staki na staki
Staki na staki (Staki na staki)
Staki na staki, hmm mmh, wapi?
Staki na staki, staki na staki
Man a bonefire (Staki na), man a bonefire (Staki na), man a bonefire
[Verse 1]
Uh, ambia boy fisi simtaki, hio time akupee siko ithaa
Maboy wanareverse kwa maparking, ye ni calls kureverse kila saa
Femi One their mum their auntie, nliwashow hao ma emcee nimewazaa
Nditni kwa mra' niko active, sina time ya kulink na mang'am mi staki
[Verse 2]
Staki na staki drama na nuks, hunipati staki mamoods
Kama si mali kama si ganji niko Jumanji, niko kwa woods
**** ni tragic pedi wa nudes, imagine, hell of a dude
Telegram chattin', hawker wa ngwati, broker wa dhambi simp wa maboobs
[Bridge]
Ka staki staki, kwani ni lazma, mbona unaforce?
Mans alipigwa stopper DM akajam ka spread on toast
I guess nilishrink his ego, left him on read and he had some hopes
Clique ni savage, clique ni rong, hii clique ni clique ni clique ni
[PreChorus]
Hii clique ni ya wanati (Skrr skrr), hunipati
Wallahi aki, unaezadhani ni Illuminati, wapi?
[Chorus]
Staki na staki, staki na staki, staki na staki (Staki na staki)
Staki na staki, staki na staki, staki na staki na staki na staki
Staki na staki
Staki na staki, hmm mmh, wapi?
Staki na staki, staki na staki
Man a bonefire, man a bonefire, man a bonefire
[Verse 3]
Hii clique ni ya wa bobo shanti, always skankin', jobless party
Alivuta foreign na ulafi akacheki mwangaza kama Kamlesh Pattni
Life ni walala, view ni ya branba, staki na staki blunt umelamba, staki na
At times ilibamba then akaanza feelings vibe ikaishanga
[Verse 4]
Staki na staki, stamina energy, kama ni mbwakni, staki na
WhatsApp groups hunipati, I don't correlate na umati, staki na
Alibonga reckless mneti hata sikureact, zero pressure sikuwangi na time
[Verse 5]
Time ya mambleina sipati, wallahi aki, mshow akae mbali na
ATM limit ni maximum, mteja wa nambari hapatikan'
Wako roamin' ka padre wa Vatican, ngoma hazipop tunatambua ni pandisa
Clique ya mapagan, clique ya warazi, staki na staki kuinteract na madwanzi
Tuko maendeavor, mamradi, clique ya mapeng hii ni clique ya mabaddie
[Chorus]
Hii clique ni ya wanati (Skrr skrr), hunipati
Wallahi aki, unaezadhani ni Illuminati, wapi?
Staki na staki, staki na staki, staki na staki
Staki na staki, staki na staki, staki na staki na staki na staki
Staki na staki
Staki na staki, hmm mmh, wapi?
Staki na staki, staki na staki
Man a bonefire, man a bonefire, man a bonefire
Written by: WANJIKU KIMANI
instagramSharePathic_arrow_out