Music Video

FEMI ONE - KULIA KUSHOTO (OFFICIAL AUDIO) SEND SKIZA 6981431 TO 811
Watch FEMI ONE - KULIA KUSHOTO (OFFICIAL AUDIO) SEND SKIZA 6981431 TO 811 on YouTube

Featured In

Credits

AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Femi One
Femi One
Künstler:in
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
WANJIKU KIMANI
WANJIKU KIMANI
Songwriter:in

Lyrics

[Intro]
Kulia kushoto
Kabla unicross jiulize maswali most ni nini inaenda kucost
'Sabu Femi ni moto, ya kuotea mbali
N'jaribu utageuzwa hali mwili yako ifichwe mahali
Mi ni Mama Watoto, you are my sons and daughters vile inafaa
Kimziki nimewazaa, ghetto maisha ya msoto
Naijua vizuri so pesa haiwezi nchanganya, talanta nmeifanya mkwanja
[Verse 1]
Bidii na skill, kiTegla (Huh), Lorupe, kismat ni extra
Nshow vile unafeel, pretender (Huh), usishtuke, ndo stuff napenda
Shipment kwa flight nshapokea trophy ya Afrimma
Hater ako tight nikitajwa na heshima
[Verse 2]
Breathe in release, mapema (Huh)
Jichunge, mtaenda na pressure
Frequenting flights niko juu nikitafta pesa
Treatment ni right nikipull up kwa sector
Decent na mic wanabuya nkitema
[Verse 3]
Mistake utry kuvuruga utahema
10 years ago nlikuwa juu ya Double Dekker
Growth imekuwa slow lookin' back najicheka
Mkwanja ya mziki uwanga tam ukiteseka
Industry queen wanang'am nikibweka
[Chorus]
Kulia kushoto napita kati
Femi ni moto, otea na mbali
Mama watoto, nalea machali
Najua musoto, unishtui mali
Nafanya mziki nafanya kazi
Natamba mjini, uskii nko ndani
Dem toka Mwiki, baddie wa mtaani
Nairobi city, tangu zamani
[Verse 4]
Yeah
Watu si wajinga usijigas hakuna noti zinaflow tunamesea
Si magig si mashow si mabrand jo unastahili unyamaze nikiongea
Wenzako wameketi over there
Una mapepo ibada nazikemea
Hawa mafala wamenizoea
[Verse 5]
Hukosi kwa pang'ang'a na umbea
Na hatukuoni wasanii tukitokea
Last aliperform bado Nakumatt ikiwa
It's lonely at the top, chapa kazi utafikiwa
Naskia ningeflop ni label imenshikilia
Nashindwa nani amewastop si ata nyi mngeshikiliwa tufanane
[Verse 6]
Inauma wakicheki tunalive vile wanadream
Uskii na bado itabidi wameget used to
Na akuna samahani ache nispit vile nafeel
Hii haga yangu itabaki mmepeck busu
[Verse 7]
Kulia kushoto napita kati
Femi ni moto, otea na mbali
Mama watoto, nalea machali
Najua musoto, unishtui mali
Nafanya mziki nafanya kazi
Natamba mjini, uskii nko ndani
Dem toka Mwiki, baddie wa mtaani
Nairobi city, tangu zamani
[PreChorus]
Kulia kushoto
Kabla unicross jiulize maswali most ni nini inaenda kucost
'Sabu Femi ni moto, ya kuotea mbali
N'jaribu utageuzwa hali mwili yako ifichwe mahali
Mi ni Mama Watoto, you are my sons and daughters vile inafaa
Kimziki nimewazaa, ghetto maisha ya msoto
Naijua vizuri so pesa haiwezi nchanganya, talanta nmeifanya mkwanja
[Chorus]
Kulia kushoto napita kati
Femi ni moto, otea na mbali
Mama watoto, nalea machali
Najua musoto, unishtui mali
Nafanya mziki nafanya kazi
Natamba mjini, uskii nko ndani
Dem toka Mwiki, baddie wa mtaani
Nairobi city, tangu zamani
Written by: WANJIKU KIMANI
instagramSharePathic_arrow_out