Similar Songs
Credits
AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Killy
Künstler:in
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Killy
Songwriter:in
Annie taiton
Songwriter:in
PRODUKTION UND TECHNIK
Terriyo Monster
Produzent:in
Mocco Genius
Produzent:in
Lyrics
[Verse 1]
Hata ipigwe parapanda
We ni chizi miziki
Hata nkaroge nishuke nkipanda we huambiliki
Nikupige ngumi ama mikanda
We kutwa kwa marafiki
Eti we ndo chema changu chanda
Mumeo sina hata dhiki
Inaniuma sana
[Verse 2]
Daily unaruka makopo, Hennessy na madompo
Mtaani unapita na jopo wasikusogelee (Ooh yeeah)
Unakunywa bia za mkopo, hulali usiku kama popo
Umekuwa mlupoo ooh, ooh, ooh
[PreChorus]
Mara huko Tabata Bima naskia unatembea na madingi
Unajitupa mzima, mzima ukishalewa unatenda hujikingi
Usoni unaonekana mkimya ila unavyofanya ni vingi
Nyota unataka kuizima na mi ndo nlikupenda sipingi, dah!
[Chorus]
Nihurumiee eeh, eeh (Nihurumie)
Kweli nakonda silali naomba unihurumiee (Nihurumie)
Au labda mi ndo sina mvuto wuwu wuuwu (Nihurumie)
Kama nakosea samahani nihurumiee eeh, ooh
[Verse 3]
Nikivuta taswiraaa aah!
Sura inapoteza nuru
Presha inapanda hasira
Kweli vita vya panzi kunguru
[Verse 4]
Njoo unikumbatie kwa mara ya mwisho kabla sijafa
Lazima nikwambiee sikupi vitisho natapa-tapa
Kuta za moyo wangu zina nyufa
Umeziharibuuh pendo langu unalitupa ah!
[PreChorus]
Mara upo Tabata Bima naskia unatembea na madingi
Unajitupa mzima, mzima ukishalewa unatenda hujikingi
Usoni unaonekana mkimya ila unavyofanya ni vingi
Nyota unataka kuizima na mi ndo nlikupenda sipingi, dah!
[Chorus]
Nihurumiee eeh, eeh (Nihurumie)
Kweli nakonda silali naomba unihurumiee (Nihurumie)
Au labda mi ndo sina mvuto wuwu wuuwu (Nihurumie)
Kama nakosea samahani nihurumiee eeh, ooh
Written by: Annie taiton, Killy