Lyrics

You said you love me
I don\'t believe kuwa ulikua lie
Na uka pretend in love
How that my fault
Na mbona ghafla ukuwe mtu mbaya
Moyo umeupa maumivu
Bring your temper down
Usinipe hizo maneno mbaya
Zina nipa maumivu
Hizi ni presure tu
Ila soon nitakua sawa
Niwaze how can I live
aah tulipo kosana
Tuli malizana nika samehe
Kusema ni makosa ya ujana
Ni aibu sana kuona tuna achana
kweli nilipambana ila ime shindikana
              
unanifanya mtumwa wa mapenzi
   upendo wangu una nitoa mchozi
naunajua kukuacha siwezi ndomaana una nionea
na mwiliwako kama mapokezi
kukataa wageni hauwezi
 kumbe ujana wako humalizi leo
 basi najiondokea oooh
baay baay naondoka
baay baay naondoka
baay baay naondoka
na kunasiku huwa sipati usingizi
na weweseka unanijia kwenye njozi
nasema moyo wangu tulia
haya yanyuma tulisha malizaga
arafu me nime ridhika hakuna kipya yote marudio huko zamani yalipita
usitafute sifa kuni tag Insta
sina muda yaliyo pita yamepita
   yah
mambo hubadirika watu wana sahaurika
hii dunia tunapita usijisahau
pesa nazo huisha ona una dharilika
kumbuka kilicho kuponza ni dharau
ulinifanya mtumwa wa mapenzi
upendo wangu ukanitoa machozi
       na ulijua kukuacha siwezi ndiomaana ukanione
na mwili wako kama mapokezi kukataa wageni hauwezi kumbe ujana wako humalizi leo nami najiondokea aaah
baay baay naondoka
baay baay naondoka
baay baaay naondoka
Written by: Kille Kussin
instagramSharePathic_arrow_out