Top Songs By ISSAI IBUNGU
Similar Songs
Credits
AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
ISSAI IBUNGU
Künstler:in
Steven Kanumba
Künstler:in
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
ISSAI IBUNGU
Songwriter:in
Lyrics
Nitayainua macho yangu nitazame milima aah
Msaada wangu baba utatoka wapiii?
Msaada wangu katika bwana mbingu na nchini zakee
Asiuache mguu wako usogezwe
Hata sinzia, hata lala, yeye mlinzi wangu
Atanilinda mabaya yote na nafsi yangu

Maisha haya nayakabidhi kwako mollah wangu we
Maisha yangu duniani
Yatawale wewe peke yako usinitupe
Sifa na utukufu-eh
Yatawale wewe peke yako, eeeh baba
Nitayainua macho yangu nitazame milima aah
Msaada wangu baba utatoka wapiii?
Msaada wangu katika bwana mbingu na nchini zakee
Asiuache mguu wako usogezwe
Hata sinzia, hata lala, yeye mlinzi wangu
Atanilinda mabaya yote na nafsi yangu
Nitayainua macho yangu nitazame milima aah
Msaada wangu baba utatoka wapiii?
Msaada wangu katika bwana mbingu na nchini zakee
Asiuache mguu wako usogezwe
Hata sinzia, hata lala, yeye mlinzi wangu
Atanilinda mabaya yote na nafsi yangu
Kama leo nikifaa
Kila mtu atanisifu kwa lake
-ametutoka msanii wetu tulie mpenda -
-eti, 'pengo la Kanumba ataliziba nani?'-
Hata hao wanaonichukia watabeba jeneza langu
Kwa nyimbo na sala za uzuni
Wenzangu leo niko hai
Twachukiana sana
Usoni twacheka, rohoni ni vita, vikali
Tuambiane tusameane, tuishi kwa amani, upendo
Furaha yetu hadi mbinguni furaha ile ya mileleee
"Eh, mola-
Mimi maskini mnyonge mmoja
Kupigana na jeshi la watu 1000
Simuezi hata mmoja!"
Tusipo sameana, tutasameana lini, tukisha kufaaa?
Nitayainua macho yangu nitazame milima aah
Msaada wangu baba utatoka wapiii?
Msaada wangu katika bwana mbingu na nchini zakee
Asiuache mguu wako usogezwe
Hata sinzia, hata lala, yeye mlinzi wangu
Atanilinda mabaya yote na nafsi yangu
Nitayainua macho yangu nitazame milima aah
Msaada wangu baba utatoka wapiii?
Msaada wangu katika bwana mbingu na nchini zakee
Asiuache mguu wako usogezwe
Hata sinzia, hata lala, yeye mlinzi wangu
Atanilinda mabaya yote na nafsi yangu
Sema na moyo wangu baba
Sema na maisha yangu Kanumba
Vita in vikali mi' nimasikini
Siwezi pigana weee!
Nitayainua macho yangu nitazame milima aah
Msaada wangu baba utatoka wapiii?
Msaada wangu katika bwana mbingu na nchini zakee
Asiuache mguu wako usogezwe
Nitayainua macho yangu nitazame milima aah
Msaada wangu baba utatoka wapiii?
Msaada wangu katika bwana mbingu na nchini zakee
Asiuache mguu wako usogezwe
Hata sinzia, hata lala, yeye mlinzi wangu
Atanilinda mabaya yote na nafsi yangu
Nitayainua macho yangu nitazame milima aah
Msaada wangu baba utatoka wapiii?
Msaada wangu katika bwana mbingu na nchini zakee
Asiuache mguu wako usogezwe
Hata sinzia, hata lala, yeye mlinzi wangu
Atanilinda mabaya yote na nafsi yangu
Writer(s): Issai Ibungu
Lyrics powered by www.musixmatch.com