Top Songs By Otile Brown
Credits
AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Ruby
Stimme und Gesang
Otile Brown
Künstler:in
PRODUKTION UND TECHNIK
Otile Brown
Produzent:in
Lyrics
Yeah
Oooh, yeah
Shujaa wako (Shujaa wako)
Ukihitaji rafiki, unipigie
Na nitafika hata kabla simu hujaikata
Na kifuani mwangu nitakuliwaza
Na nitakesha, nikikulinda ukilala
Najua moyo unataka, akili inataka
Najua unampenda, unampenda yule
Na tena mimi sina wivu
Ila naomba ije siku uje elewa
Ije siku uje kuielewa thamani yako
That I'm one call away
Ukinihitaji mpenzi, nipigie simu yangu
One call away
Ukinihitaji mpenzi, 'shujaa wako
One call, one call away
Call me, if you need me, call me
One call, one call away
Call me if you need me, call me
Mapenzi hayafai kuumiza
Sasa nini unampendea?
Mapenzi hayafai kuliza
Kutwa umeshinda ukiyang'ang'ania
Wakati ina ku-cost furaha yako
Oh, no (oh, no, oh, no, no)
Najua moyo unataka, akili inataka
Naelewa unampenda, unampenda yule
Na tеna mimi sina wivu
Ila naomba ije siku uje elеwa
Ije siku uje kuielewa thamani yako, mmh
That I'm one call away
Ukinihitaji mpenzi, nipigie simu yangu
One call away
Ukinihitaji mpenzi, 'shujaa wako
That I'm one call
One call away
Call me, if you need me, call me
One call, one call away, call me (oh)
If you need me, call me
Writer(s): Otile Brown
Lyrics powered by www.musixmatch.com