Lyrics

[Verse 1]
Mara ya kwanza kukuona ah, macho yalipiga picha
Nega ikabaki moyoni, moyoni!
Nikasema nikikuona tena, sitaweza ficha
Mana umejaa moyoni, mawazoni
[Verse 2]
Si rahisi, kuuficha moto, mana moshi utaniumbua ah
Si ushajua, ta la la la
Ndio nahisi ih ih, nimechelewa kukujua ah
Si ushajua, ta la la la
[Verse 3]
Ona vimacho vya na niii, yule wa na nii!
Shape la nani hii, karangi na nanii!
Ona vimacho vya na niii, yule wa na nii!
Shape la nani hii, karangi na nanii!
[Chorus]
Mwambie mpe story dear x (Ukimwona umwambie)
Kumbukumbu zake nimepiga x (Asipige asisumbue)
Mwambie mpe story pia (Ukimwona umwambie)
Mwenzake sasa nimetulia (Asipige asisumbue)
[Verse 4]
Kila mmoja ana mengi, yalofanya aumie
Baada ya muda unasahau maumivu yanapona
Yalivyo na manguvu mapenzi, Leo mateso nimesahau
Tena kidogo angalau, nimepata kupona
[Verse 5]
Kila lenye kusudi halina papara
Nilingoja tena sikukata tamaa
Nilijua ni makusudi ya muumba kwani ipo siku yangu
Itawezekana leo kakushusha kifaa
[Verse 6]
Tena macho ya nani, uzuri wako wa nani
Urembo wako wa nani, nachanganyikiwa
Mana wanakutamani ih, mafisi wako uwanjani
Tuwapoteze thamani tusijali, babe I love u
[Chorus]
Mwambie mpe story dear x (Ukimwona umwambie)
Kumbukumbu zake nimepiga x (Asipige asisumbue)
Mwambie mpe story pia (Ukimwona umwambie)
Mwenzake sasa nimetulia (Asipige asisumbue)
Written by: Benard Clavery
instagramSharePathic_arrow_out