Lyrics

Muda mwingine unanikera Unavyouliza maswali Maneno ya mashoga zako Yananifanya nisiwe sawa Umeshakubali kibendera kwenye Upepo mkali Ila ndo hivyo penzi lako Mi siwezi kunawa Wamekufunza tabia mbaya Kurudi home naona umelewa Na mimi kwako sina baya na Kusamehe mi mwelewa Wanachukia kwa kweli wakiniona Niko na wewe Na mimi wananikera basi mara Moja moja baby nielewe I wish twende mbali mbali Kote niishi na wewe Wananinyima raha marafiki zako Basi talk to me baby Naomba tuje together Msosi nimepika naona Bwawa kwenye meza Usilewe ma baby utaflow kiingereza Moyo unasita bila we sitoweza Nimekumis Aaaah Aaaah Ma baby nimekumis Aaaah So baby promise Aaaah Ma baby promise Aaah Napiga simu unasema uko busy Unaniweka kwenye kiza Muda mwingine napiga hupokei Unakula bata Sinza Wananisifia wakiwa na mimi Kwako wananimaliza Muda mwingine nasali Baba Mungu basi atende miujiza Wanachukia kwa kweli wakiniona Niko na wewe Na mimi wananikera basi mara Moja moja baby nielewe I wish twende mbali mbali Kote niishi na wewe Wananinyima raha marafiki zako Basi talk to me baby Naomba tuje together Msosi nimepika naona Bwawa kwenye meza Usilewe ma baby utaflow kiingereza Moyo unasita bila we sitoweza So baby promise Aaaah Aaaah Ma baby ni-promise Aaaah So baby promise Aaaah Ma baby promise Aaah
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out