Lyrics

Bingu zaimba ukuu wako
Nchi yasifu uzuri wako
Mlima, bahari vyakusifu
Wewe ni Mungu mtakatifu
Bingu zaimba ukuu wako
Nchi yasifu uzuri wako
Mlima, bahari vyakusifu
Wewe ni Mungu mtakatifu
Kwa zeze, matohazi
Kwa nyimbo twakusifu
Kwa zeze, matohazi
Kwa nyimbo twakusifu
Bingu zaimba ukuu wako
Nchi yasifu uzuri wako
Mlima, bahari vyakusifu
Wewe ni Mungu mtakatifu
Bingu zaimba ukuu wako
Nchi yasifu uzuri wako
Mlima, bahari vyakusifu
Wewe ni Mungu mtakatifu
Kwa zeze, matohazi
Kwa nyimbo twakusifu
Kwa zeze, matohazi
Kwa nyimbo twakusifu
Maserafi, makerubi walisifu jina lako
Uu Bwana, uu Bwana Yahweh
Wenye uhai wanne, walisifu jina lako
Uu Bwana, uu Bwana
Maserafi, makerubu walisifu jina lako
Uu Bwana, uu Bwana Yahweh
Wenye uhai wanne, walisifu jina lako
Uu Bwana, uu Bwana Yahweh
Ni wewe tu Bwana, ni wewe tu Yesu
Ni wewe tu Bwana, ni wewe tu Yesu
Sifa zote ni zako, sifa zote ni zako
Sifa zote ni zako, sifa zote ni zako
Sifa zote ni zako, sifa zote ni zako
Wakusifiwa niwe, wakusifiwa niwe
Wakusifiwa niwe, wakusifiwa niwe
Ni wewe tu Bwana, ni wewe tu Yesu
Ni wewe tu Bwana, ni wewe tu Yesu
Wakusifiwa niwe, wakusifiwa niwe
Wakusifiwa niwe, wakusifiwa niwe
Ni wewe tu Bwana, ni wewe tu Yesu
Ni wewe tu Bwana, ni wewe tu Yesu
Wakusifiwa niwe, wakusifiwa niwe
Wakusifiwa niwe, wakusifiwa niwe
Wakusifiwa niwe, wakusifiwa niwe
Wakusifiwa niwe, wakusifiwa niwe
Written by: Gwamaka F Mwakalinga
instagramSharePathic_arrow_out