Top Songs By Rose Muhando
Similar Songs
Credits
AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Rose Muhando
Künstler:in
PRODUKTION UND TECHNIK
Laizer
Produzent:in
Lyrics
[Intro]
Asali ya Mungu baba aa
Tuipakue
Asali ya kaanani ee
Tuipakue, tuipakue pakue
[Verse 1]
Tumewaacha na maboga yao (Na maboga)
Mbona amebaki na matango yao (Na matango)
Hao wamisiri na pilau lao (Na pilau)
Tumewaacha na uchawi waoo (Na uchawi)
Ona wamebaki na miungu yao (Na miungu)
Tumewaacha na ushamba mba mba mba (Na ushamba)
Na wamebaki na ushamba mba mba mba (Na ushamba)
Tumewaacha mbali sana (Mbali sana)
[Verse 2]
Wakichungulia (Hawatuoni)
Wakitutafuta (Hawatuoni)
Hata kwa tunguli (Hawatuoni)
Hata kwa tunguli (Hawatuoni)
Bwana hata kwa uchawi (Hawatuoni)
[Bridge]
Aah amen amen aleluyaah
Ekhe
[Verse 3]
Moto umewaka, vita vimekwisha
Ushindi tumepata, Mbingu zimefunguka
[Verse 4]
Tumepiga kambi, tunataka ushindi
Sisi hatishindwi, Mungu wetu ni fundi
Yooyoyoyoyo yoyoyoo
[Chorus]
Asali tumeiona, tuipakue
(Twende) Tuipakue-pakue
Asali tumeiona, tuipakue
(Twende) Tuipakue-pakue
(Tupakue na masega yake) Tuipakue
(Twende) Tuipakue-pakue
(Na wachungaji njooni) Tuipakue
(Tuipakue) Tuipakue-pakue
(Twende tuteke mateka) Tuipakue
(Pakua) Tuipakue-pakue
(Wayunani wamekimbia mbali) Tuipakue
(Pakua) Tuipakue-pakue
(Wahiti wamekimbia mbali) Tuipakue
(Pakua) Tuipakue-pakue
(Ona wakanaani wamekimbia mbali) Tuipakue
(Hayaa) Tuipakue-pakue
(Waamori wamekimbia mbali) Tuopakue
(Enhee) Tuipakue-pakue
(Twende tuteke mateka sasa) Tuipakue
(Pakua) Tuipakue-pakue
(Ona asali tumeiona) Tuipakue
(Pakua) Tuipakue-pakue
(Mungu ametushindia) Tuipakue
(Pakua) Tuipakue-pakue
(Mungu ametutendea) Tuipakue
(Pakue) Tuipakue-pakue
Naa, na-na-na-na-na-na-na-na-na-na-na, ekhee
[Bridge]
Kajua kale (Teremka) kajua kale (Teremka)
Amani ile (Teremka) furaha tele (Teremka)
Furaha tele (Teremka) uzima ule (Teremka)
Maziwa yale (Teremka) asali tele (Teremka)
Mafanikio tele (Teremka) kajua kalee (Teremka)
Kajua kale (Teremka) ushindi ulee (Teremka)
Uzima ulee (Teremka)
[Chorus]
(Asali tumeiona) Tuipakue
(Pakua) Tuipakue-pakue
(Asali inatiririka) Tuipakue
(Wa, wa, wa) Tuipakue-pakue
(Leteni na masufuria) Tuipakue
(Pakua) Tuipakue-pakue
(Leteni hata vikombe) Tuipakue
(Hata vikombe) Tuipakue-pakue
(Asali tamu na tujirambe) Tuipakue
(Na tujirambe) Tuipakue-pakue
(Masahani yako wapi) Tuipakue
(Yako wapi) Tuipakue-pakue
(Ah akina mama muko wapi) Tuipakue
(Ayayayayaa) Tuipakue-pakue
(Kina mama twendeni twende) Tuipakue
(Pakua) Tuipakue-pakue
(Asali na tujirambe) Tuipakue
(Na tjirambe) Tuipakue-pakue
(Asali tujirambe) Tuipakue
(Na tujirambe) Tuipakue-pakue
(Aya wamama muoo wapi) Tuipakue
(Pakua) Tuipakue-pakue
Leteni na masahani
[Outro]
Kajua kale (Teremka) kajua kale (Teremka)
Amani ile (Teremka) furaha tele (Teremka)
Furaha tele (Teremka) uzima ule (Teremka)
Maziwa yale (Teremka) asali tele (Teremka)
Mafanikio tele (Teremka) kajua kalee (Teremka)
Kajua kale (Teremka) ushindi uleee (Teremka)
Uzima ulee (Teremka)
Written by: Rose Muhando